Nakwede: Jumamosi 6/7/2019 nilifunga ndoa takatifu

Mbona minaiona ndoano hapo...teh[emoji23][emoji23]
 
Sasa mbona mie nimepata,kwani "hunioni" hapo kwenye picha?!!!!
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Huyo siyo wewe

Wewe ni mrembo kuliko huyo
 
Mbona minaiona ndoano hapo...teh[emoji23][emoji23]
Halafu wewe weweeeeeeeeeeeeeeee, ina maana mpambaji wangu hakunipamba nikanoga? hahahahahaahahahaha
 
Hii picha inanifanya nijiulize kama ni kweli ama utani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…