Nakwede: Jumamosi 6/7/2019 nilifunga ndoa takatifu

Nakwede: Jumamosi 6/7/2019 nilifunga ndoa takatifu

hahahaahahahaha, si unajua upambaji wa kijijini, hapo Bi harusi ndio kapambwa na kuvalishwa hahahahahahahahahah
Ila wangemvalisha hata sidiria. hahahahaahhaahahaha
Hata huu mahonia aliochagua bibi harusi siyo kwakweli, haya malapa hayatakiwi kuwa exposed . Ila usingae kuwa gauni ni kwa Hispano ya masister wa parokia
 
Hata huu mahonia aliochagua bibi harusi siyo kwakweli, haya malapa hayatakiwi kuwa exposed . Ila usingae kuwa gauni ni kwa Hispano ya masister wa parokia
hahahahahahahaahahah. Ila sasa ni bora kuvaa gauni tu la kawaida. hahahahahaha
 
Best shemeji inaonekana ni mjanja mjanja sana. Uliwazidi wangapi hapo kijijini?
 
Best shemeji inaonekana ni mjanja mjanja sana. Uliwazidi wangapi hapo kijijini?
Castr anakwambia mdomo wa shemeji yako, unaonekana ndio sababu kubwa ya hayo manyonyo kulala hivyo!!
Watoto wanajua kusoma picha hawaaaaaa!!!!!
 
Harusi kama hii ni mbuzi mmoja tu anapikwa pilau, jogoo na wali mweupe kama kilo tano kwa wasiokula pilau. Mchele kilo 50,

Rubens black current chupa 5 zinakuwa daluted kwenye ndogo na mabonge ya barafu.

Mnaacha historia kijijini watu walikula mpaka wakasaza.
 
Back
Top Bottom