Nakwede: Jumamosi 6/7/2019 nilifunga ndoa takatifu

Mdomo wa huyo jamaa kwa jinsi ulivyokaa naona una uhusiano wa moja kwa moja na anguko la maziwa makuu
Kwani hunioni hapo pembeni, bibi harusi, chuchu saa sita kamili mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Best uligombana na brassiere au sidiria?
hahahaahahahaha, si unajua upambaji wa kijijini, hapo Bi harusi ndio kapambwa na kuvalishwa hahahahahahahahahah
Ila wangemvalisha hata sidiria. hahahahaahhaahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…