Nimekumbuka ule uzi wako. hahahahahaahhaKwani bado? Ulitakiwa umuage baada ya send off.
Ayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kwanini? hahahahaahahah.Aah aisee haitofika siku tano hiyo ndoa
Mark my word !
Hata huu mahonia aliochagua bibi harusi siyo kwakweli, haya malapa hayatakiwi kuwa exposed . Ila usingae kuwa gauni ni kwa Hispano ya masister wa parokiahahahaahahahaha, si unajua upambaji wa kijijini, hapo Bi harusi ndio kapambwa na kuvalishwa hahahahahahahahahah
Ila wangemvalisha hata sidiria. hahahahaahhaahahaha
hahahahahahahaahahah. Ila sasa ni bora kuvaa gauni tu la kawaida. hahahahahahaHata huu mahonia aliochagua bibi harusi siyo kwakweli, haya malapa hayatakiwi kuwa exposed . Ila usingae kuwa gauni ni kwa Hispano ya masister wa parokia
Hahahahah ha upi huo???Nimekumbuka ule uzi wako. hahahahahaahha
Ule wa kuaga ex au nimekosea haukuwa wa kwako? Uliasa waolewaji waache tabia ya kuaga ex waoHahahahah ha upi huo???
Hapana ule ni wa cute love kama sikosei.Ule wa kuaga ex au nimekosea haukuwa wa kwako? Uliasa waolewaji waache tabia ya kuaga ex wao
Basi hizo Cute ndio zimenichanganya.hahahahahahahHapana ule ni wa cute love kama sikosei.
Mimi nilikoment tuu
HahahaNdoa ni mpya ila wanandoa wa zamani
Mkuu hiyo ni "ndoa mpya" kwani hunioni hapo pichani?
πππππππππππ