Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Harria ya 2006 halafu unasema Gari ni mpya!Naondoka asubuhi na garo yangu binafsi harria 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza.
Gari ni mpya kilomita 560 from dsm to moshi.niandae lita ngapi.natumia ac mwanzo mwisho.driving speed 80 to 120.
Inategemea Moshi ipi but Dar to Moshi kwa Harrier wastani wa lita 55.Naondoka asubuhi na garo yangu binafsi harria 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza.
Gari ni mpya kilomita 560 from dsm to moshi.niandae lita ngapi.natumia ac mwanzo mwisho.driving speed 80 to 120.
Piga full tank, simu iwe na hela
Yanamfikisha kabisaHarrier full tank ni kama lita 70 na kwa hiyo safari hadi moshi mjini utatumia kama lita 60 kwa huo mwendo.
hivyo ukifika Same/mwanga unaweza kuongeza ila ukiamua kunyoosha yanafika