Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umekufa machoSio kila mtu ana uwezo wa kukadiria mafuta kwa safari ndefu mkuu.
Hata akikodi haiondoi ukweli kuwa atasafiri na Harier na atajaza mauta
✅🙏🙏🙏Sio kila mtu ana uwezo wa kukadiria mafuta kwa safari ndefu mkuu.
Hata akikodi haiondoi ukweli kuwa atasafiri na Harier na atajaza mauta
Nikiwa nakwenda wapiTunakusubiria Hedaru tukuonyeshe adabu
KaribuHuko moshi kuna kitu cha muhimu sana
Nimechelewa kuona uzi wako.........nilitaka kujua kama ulishawahi kusafiri safari ndefu kabla.Naondoka asubuhi na gari yangu binafsi Harrier 2006 cc 2360 kwa mara ya kwanza.
Gari ni mpya kilomita 560 from Dsm to Moshi niandae lita ngapi.
Natumia ac mwanzo mwisho driving speed 80 to 120.
Nimechelewa kuona uzi wako.........nilitaka kujua kama ulishawahi kusafiri safari ndefu kabla.
Kuna Trip Nilisonya na kutukana hadi nafika Home, Highway michezo michafu mingi ukisema ufate sheria unasababisha ajali au unaweza kusababishiwa ni kuwa tu fair.Swali zuri sana,
Maana uendeshaji wa njia kuu unahitaji uzoefu.
Barabara ni nyembamba sana, zilijengwa kwa vipimo vya zamani ya ukoloni.
Yaani kupishana na gari kubwa inabidi kwanza ujue kupunguza mwendo kabla kisha ujue kuji-adjust kimtindo kwa kusogea na kujibana upande wako.
Vinginevyo ukikariri kusema unaendesha ndani ya upande wako bila kuji adjust utai pata flesh ma taharuki nyingi njiani na misonyo [emoji57][emoji19]