NAF Hotel uliza ya hapo mjiniHabari jukwaani humu ni mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea Mtwara lengo likiwa ni biashara tafadhali.
Naomba msaada wa kupata hoteli nzuri iliyo katikati ya mji kuanzia sh. 30,000 mpaka 40.
Kupata sehemu ya kupanga ofisi na nyumba ikiwezekana na bei na bei zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchawi.Corona imezima uchumi halafu wewe unaenda kufungua ofisi?Jiandae kulia!
Inawezekana anaenda kufungua kiwanja cha sanitizer maana amoeba fursaCorona imezima uchumi halafu wewe unaenda kufungua ofisi?Jiandae kulia!
Hotel ni nyingi mkuu.. Kama ktkt ya mji NAF Hotel itakufaa, zipo nying ila hii iliyopo karibu na makumbusho ya Mkoa itakufaa, karibu sana kusin,i karibu Mtwara..
Inawezekana anaenda kufungua kiwanja cha sanitizer maana amoeba fursa