Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Habari jukwaani humu ni mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea Mtwara lengo likiwa ni biashara tafadhali.
Naomba msaada wa kupata hoteli nzuri iliyo katikati ya mji kuanzia sh. 30,000 mpaka 40.
Kupata sehemu ya kupanga ofisi na nyumba ikiwezekana na bei na bei zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada wa kupata hoteli nzuri iliyo katikati ya mji kuanzia sh. 30,000 mpaka 40.
Kupata sehemu ya kupanga ofisi na nyumba ikiwezekana na bei na bei zake.
Sent using Jamii Forums mobile app