Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Jan 3, 2016 #1 Msaada tafadhali. Nimenunua Luku lakini kila nikijaribu kuingiza inaniandikia error 77. Nalala gizani mwenzenu. Haijawahi kuwa na tatizo kama hilo kabla.
Msaada tafadhali. Nimenunua Luku lakini kila nikijaribu kuingiza inaniandikia error 77. Nalala gizani mwenzenu. Haijawahi kuwa na tatizo kama hilo kabla.
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,340 Reaction score 4,086 Jan 3, 2016 #2 Unatumia meter ya aina gani?