Nalala giza kwa kushindwa kuingiza Luku

Nalala giza kwa kushindwa kuingiza Luku

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Msaada tafadhali. Nimenunua Luku lakini kila nikijaribu kuingiza inaniandikia error 77. Nalala gizani mwenzenu. Haijawahi kuwa na tatizo kama hilo kabla.
 
Back
Top Bottom