Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #381
Ni aina fulani ya utumwa ila kwa sasa huwezi kuelewa
Utumwa kama ningekuwa nalazimishwa, Utumwa kama ningekua nafanya ili nipendwe....kwa kuwa hakuna kati ya hayo basi ni mapenzi tu sio utumwa
Sasa huyo jamaa akiendelea kudeka na kulalamika.... ukishindwa mpige chini. Mi niko tayari kuoa wake wawali wenye tabia zinazofanana....Unaijua kaisiki lakini? Anaesema haifanyi kazi alikosea masharti
Sasa huyo jamaa akiendelea kudeka na kulalamika.... ukishindwa mpige chini. Mi niko tayari kuoa wake wawali wenye tabia zinazofanana....
Manake mi hata nikitaka kupiga nguo zangu pasi nanyang'anywa anapasi mwenyewe....
Unitafute ukifikia hatua hiyo.
Ndiyo maana nikasema kuwa kwa sasa huwezi kuelewa. Naamini siku moja tutapata tena nafasi ya kuongea
Sasa mkiwa mnagombea mwisho wa siku si mtapigana??Mi ntakua nakunyang'anya hadi mswaki nakupigisha, ngoja nisave namba yako kabisa au nitoroke nije nini?!
Sawa babu
Nshazima kitambo
Kumbe nawe una deka, oryt Tanzania inasemaje kuhusu polyandry nahisi nna nyota ya kudekewaSasa mkiwa mnagombea mwisho wa siku si mtapigana??
Ila on serious note huyo unayemwita jamaa yako sio kwamba analalamika bali anadeka. Kishazoea kudekezwa kama mimi... Sasa hapo tunatofautiana wakati mimi sipendi kudekezwa bali nalazimishwa kudekezwa, yeye anaendekeza kudekezwa. Umeamua kupenda boga penda na ua lake.
Narudia tena halalamiki huyo, anadeka.
Are u clean? Usafi wako mwenyewe wa mwili uko sawa...??? Usije kua una jituma kupika chai asubui kumbe hata mswaki huja piga, jamaa ana taka akuage kwenda kazini na deep kiss inakua tabu... siri ya kwanza amka asubui oga jiweke safi then muandalie jamaa yako vitu vyake
Umeanza tene viinglishi vyako..... yani hujui nimeishia form two B shule ya msingi Mtakuja praimere skuli??Kumbe nawe una deka, oryt Tanzania inasemaje kuhusu polyandry nahisi nna nyota ya kudekewa
Umeanza tene viinglishi vyako..... yani hujui nimeishia form two B shule ya msingi Mtakuja praimere skuli??
Hiyo makitu yako hairuhusiwi Tanzania. Kama una uroho sana nenda India ukafanye kuchikuchi hotaye..... maana kule nyie ndo mwaoa ati?? Ila usijali kama vipi mi niko tayari kuwa mwizi LOL
Tutalidiscuss kwa kina hilo swala la wizi tuone tunalitatuaje, "waacheni wanaume wanaodeka waje kwangu kwa maana......." πeep:πeep:
Kwa maana malalamiko yako kwako...
Amina
Unajua kuna kila mwanamme na Tabia yake,mfano mume wangu mimi Kama sijampikia mimi chakula nakumuwekea juu ya mezaa hali as long as siumwi au siko nyumbani,akitoka kazini awe amewahi yeye au nimewahi mimi Massage ya miguu ni lazima ndio nilivyo mzowesha,anapokua nyumbani chai ya mchana ni lazima, ijumaa kumkata kucha,kupiga pasi kanzi yake kuifusha ni wajibu wangu na hafanyi mtu mwengine kama naumwa au sipo ntafusha kabisa naweka kwenye kabati,sasa kuna vitu vidogo vidogo inabidi uviongeza anavyopenda yeye na iwe hivyo....lakini narudia tena mpaka hapo unavyofanya i salute you lov unafanya kazi nzuri...Duh sasa kama hapa am doing nothing natakiwa kuishi vipi labda???
Unajua kuna kila mwanamme na Tabia yake,mfano mume wangu mimi Kama sijampikia mimi chakula nakumuwekea juu ya mezaa hali as long as siumwi au siko nyumbani,akitoka kazini awe amewahi yeye au nimewahi mimi Massage ya miguu ni lazima ndio nilivyo mzowesha,anapokua nyumbani chai ya mchana ni lazima, ijumaa kumkata kucha,kupiga pasi kanzi yake kuifusha ni wajibu wangu na hafanyi mtu mwengine kama naumwa au sipo ntafusha kabisa naweka kwenye kabati,sasa kuna vitu vidogo vidogo inabidi uviongeza anavyopenda yeye na iwe hivyo....lakini narudia tena mpaka hapo unavyofanya i salute you lov unafanya kazi nzuri...
Ha ha ha ha nmependa hiyo part ya massage ya miguu mie nafanyaga massage ya ulimi tu. :behindsofa: ngoja nidese kwako hiyo lol
Heaven Sent Ongeza nondo kwenye notes zako hapo juu ha ha ha