Unajua kuna kila mwanamme na Tabia yake,mfano mume wangu mimi Kama sijampikia mimi chakula nakumuwekea juu ya mezaa hali as long as siumwi au siko nyumbani,akitoka kazini awe amewahi yeye au nimewahi mimi Massage ya miguu ni lazima ndio nilivyo mzowesha,anapokua nyumbani chai ya mchana ni lazima, ijumaa kumkata kucha,kupiga pasi kanzi yake kuifusha ni wajibu wangu na hafanyi mtu mwengine kama naumwa au sipo ntafusha kabisa naweka kwenye kabati,sasa kuna vitu vidogo vidogo inabidi uviongeza anavyopenda yeye na iwe hivyo....lakini narudia tena mpaka hapo unavyofanya i salute you lov unafanya kazi nzuri...