Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Kumpikia mmeo, kumtayarishia nguo, maji n.k ni utumwa???? Ooopsss kama ni utumwa nipo tayari kufungwa minyororo na kuchapwa mijeredi.....is there anywhere nimeandika huo ni wajibu wa kila mwanamke???nah huo ni wajibu wangu mie ES

Umerudia Mara kadhaa kwenye comments kwamba ni wajibu wa mwanamke.

Ni utumwa kama Mwanamke hapendi hizo shughuli, kama mimi hapa. Of course you enjoy your "responsibilities".

Watu wajue tu Kuna Aina za wanawake, wanaoona ni wajibu wao, na wanaoona wanakufanyia favour or just spicing things up.

Aina moja isijifanye ni sheria na kuonyesha nyingine ionekane ina matatizo.
 

Nakubaliana na wewe kama unafanya wakati hapendi huo ni utumwa, ila mie napenda nnachokifanya..... Cheers
 

he! huyo mji... oooh samahani kumbe tunayemzungumzia hapa ni mume wako... kama unafanya yote hayo hasa kwenye dunia hii ya digital na usawa kwa wote hongera sana.. wanawake wachache sana wa kisasa wanaweza hayo,

tukirudi kwa shem, huyo amelewa (upendo) na anadeka so huna namna na hawezi kubadilika, we vumilia tu na endelea hivyo hivyo na majukum yako
 
Anapiga teke bakuli ya dhahabu. Njoo unipe mambo hayo
 
kw
enye mgegedo ulishawahi kukalia bastola?...
 
Pole sana
 
 


Umemdekeza sana!

Anadhani wewe ni ----- kwa kuyafanya hayo yote, so anatest zari au anatafutia sababu ya hata akienda kula kwa watu (akibadili mboga) ionekane wewe ndiyo chanzo.

Anza kumkazia taratibu baadhi ya vitu.

Sema nae! Kuna sababu za yeye kulalamika....!
Pia usitegemee kumridhisha mtu 100% .

Msome jamaa yako.

Kuna binadamu hawaridhiki. Hata ufanyaje itaishia kuvunj8ka pingili za mgongo tu.

Cha msingi umetimiza wajibu wako na umeutimiza vyema.

Mwambie pia risk za space.....sumu.haijaribiwi kwa kuonja. Lazima ajue nafasi yake kwa shemeji kwanza.

Then be good, and appreciate.


Do you think hayo yote nafanya kibandindu? Nabembeleza
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…