PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Utumwa kama ningekuwa nalazimishwa, Utumwa kama ningekua nafanya ili nipendwe....kwa kuwa hakuna kati ya hayo basi ni mapenzi tu sio utumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumwa kama ningekuwa nalazimishwa, Utumwa kama ningekua nafanya ili nipendwe....kwa kuwa hakuna kati ya hayo basi ni mapenzi tu sio utumwa
Ndiyo maana nikasema kuwa kwa sasa huwezi kuelewa. Naamini siku moja tutapata tena nafasi ya kuongea
Mi ntakua nakunyang'anya hadi mswaki nakupigisha, ngoja nisave namba yako kabisa au nitoroke nije nini?!
Sasa huyo jamaa akiendelea kudeka na kulalamika.... ukishindwa mpige chini. Mi niko tayari kuoa wake wawali wenye tabia zinazofanana....
Manake mi hata nikitaka kupiga nguo zangu pasi nanyang'anywa anapasi mwenyewe....
Unitafute ukifikia hatua hiyo.
Sasa mkiwa mnagombea mwisho wa siku si mtapigana??
Ila on serious note huyo unayemwita jamaa yako sio kwamba analalamika bali anadeka. Kishazoea kudekezwa kama mimi... Sasa hapo tunatofautiana wakati mimi sipendi kudekezwa bali nalazimishwa kudekezwa, yeye anaendekeza kudekezwa. Umeamua kupenda boga penda na ua lake.
Narudia tena halalamiki huyo, anadeka.
Kuna vitu bado unahitaji kuvijua na uzee wote huo vilikupitaje ama ndio umeweka mazoeaMbwa mzee kujifunza mbinu mpya hili nalo tatizo tena tatizo kubwa.
Huwa naona real men The Boss akiwa among wanasema mwanaume anahitaji mambo matatu: food, sex and space.
Katika hayo mambo kwakweli am doing the best inawezekana kabisa nina mapungufu yangu ila am doing the best kwakweli, food, napika japo sio bonge moja la mpishi kama farkhina but I cook tena delicious ones, sex hii si kuwa tu ni wajibu ila ni hobby yangu kitu ikiwa hobby kifuatacho itv ni known kabisa, space hapa kidogo pananishinda japo najitahidi ila sio kwa fungulia doggy, anaechungwa ni mbuzi kwa binadamu tunafanya kukaba tu japo kukaba kwenyewe ni kulinda bahari ila hivo hivo tu almradi kuna kibao "Punguza mwendo kazi inaendelea mbele" tunapunguziana speed natoa space kwa kiasi Chake may be majukumu yakinizidi itakua zaidi ya hapo.
Apart from hivo vitatu nafanya na mengineyo mengi napika mwenyewe simuachii dada wa kazi, mezani naweka mwenyewe kumake sure kila kitu kipo sawa, nguo nasaidiwa kufua ila boxa nafua mwenyewe, nanyoosha mwenyewe, asubuhi naanda maji ya moto napeleka bafuni (bafu halina heater) muda huo nshaweka nguo za kazini standby na viatu nimebrush kabisa mara chache naandaa Chai sio kila siku kwasababu ni mvivu kula BADILI TABIA bila shaka unanishangaa sana make haya mambo hautajagi ha ha ha nishangae tu ukinishangaa nami na kushangaa.
Swala la heshima na kujali nikijifanyia assessment najiona nina 99%,i do respect him much, much kwakweli nikijilinganisha na ndugu, jamaa na rafiki am the best, naweza kuwavisit katikati ya maongezi mara wachambane na waume zao mara wawafokee kitu ambacho mi huwa nashangaa unawezaje kumchamba mmeo au kumfokea mbele za watu mmh sijawahi na sitakaa nithubutu nikikereka nangoja tukiwa wawili nikiona nachelewa kutoa dukuduku naandika meseji.
Kuna shost angu alishawahi kunitembelea akaishia kunishangaa inakuaje nanyoosha nguo za baby dady yeye wanaishi wote ila hajawahi kumfulia wala kumnyooshea nikamshangaa pia na kuzidi kujiona am the best mie ni "mwanamke" hizi huduma nazionaga kwa wamana watu wazima ndo wanawalea waume zao ila mie kwa age yangu tu hii najiona nipo kama mama lowasa ha ha .
Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?
Kumbe nawe una deka, oryt Tanzania inasemaje kuhusu polyandry nahisi nna nyota ya kudekewa
Tutalidiscuss kwa kina hilo swala la wizi tuone tunalitatuaje, "waacheni wanaume wanaodeka waje kwangu kwa maana......." 😛eep:😛eep:
Teh nimeprint hizi notes moyoni kabisa
Dogo naona umeni'quote?!
Nimekusoma kumbe ndio zile nyuzi😅😅🤣🤣🤣
Eeeh mkuuNimekusoma kumbe ndio zile nyuzi😅😅🤣🤣🤣
Wewe tn ka notice ujibebeee😂Ngoja nichukue notice hapa
Eee ndiwo😂Wewe tn ka notice ujibebeee😂
Haya uko poaEee ndiwo😂
Uko wapi..Mbwa mzee kujifunza mbinu mpya hili nalo tatizo tena tatizo kubwa.
Huwa naona real men The Boss akiwa among wanasema mwanaume anahitaji mambo matatu: food, sex and space.
Katika hayo mambo kwakweli am doing the best inawezekana kabisa nina mapungufu yangu ila am doing the best kwakweli, food, napika japo sio bonge moja la mpishi kama farkhina but I cook tena delicious ones, sex hii si kuwa tu ni wajibu ila ni hobby yangu kitu ikiwa hobby kifuatacho itv ni known kabisa, space hapa kidogo pananishinda japo najitahidi ila sio kwa fungulia doggy, anaechungwa ni mbuzi kwa binadamu tunafanya kukaba tu japo kukaba kwenyewe ni kulinda bahari ila hivo hivo tu almradi kuna kibao "Punguza mwendo kazi inaendelea mbele" tunapunguziana speed natoa space kwa kiasi Chake may be majukumu yakinizidi itakua zaidi ya hapo.
Apart from hivo vitatu nafanya na mengineyo mengi napika mwenyewe simuachii dada wa kazi, mezani naweka mwenyewe kumake sure kila kitu kipo sawa, nguo nasaidiwa kufua ila boxa nafua mwenyewe, nanyoosha mwenyewe, asubuhi naanda maji ya moto napeleka bafuni (bafu halina heater) muda huo nshaweka nguo za kazini standby na viatu nimebrush kabisa mara chache naandaa Chai sio kila siku kwasababu ni mvivu kula BADILI TABIA bila shaka unanishangaa sana make haya mambo hautajagi ha ha ha nishangae tu ukinishangaa nami na kushangaa.
Swala la heshima na kujali nikijifanyia assessment najiona nina 99%,i do respect him much, much kwakweli nikijilinganisha na ndugu, jamaa na rafiki am the best, naweza kuwavisit katikati ya maongezi mara wachambane na waume zao mara wawafokee kitu ambacho mi huwa nashangaa unawezaje kumchamba mmeo au kumfokea mbele za watu mmh sijawahi na sitakaa nithubutu nikikereka nangoja tukiwa wawili nikiona nachelewa kutoa dukuduku naandika meseji.
Kuna shost angu alishawahi kunitembelea akaishia kunishangaa inakuaje nanyoosha nguo za baby dady yeye wanaishi wote ila hajawahi kumfulia wala kumnyooshea nikamshangaa pia na kuzidi kujiona am the best mie ni "mwanamke" hizi huduma nazionaga kwa wamana watu wazima ndo wanawalea waume zao ila mie kwa age yangu tu hii najiona nipo kama mama lowasa ha ha .
Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?
Niko good,. And you?Haya uko poa