Nalaumu sana mabinti, wanakosea sana kwenye mahusiano (Ep. 1)

Nalaumu sana mabinti, wanakosea sana kwenye mahusiano (Ep. 1)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Twende moja kwa moja kwenye mwanzo wa Series hii.
~Kitu cha kwanza ambacho wasichana wengi wanakosea ni, kuamini kua mwanaume akimpa hela ndie anampenda kwa dhati,
Wanawake wengi amabo ni wazuri kwa muonekano (maumbo ya kutamanisha) wanajiamini sana kua lazima apate mwanaume atakae mpa hela na kusahau kua mwanaume akiwa na pesa anaweza kubadilisha mwanamke wakati wowote, sasa utakuta dem mwenyewe kabarikiwa umbo tu lakini ufundi wa mapenzi hajua hata kimoja, ni nani mwanaume tahira ataendelea kubaki na wewe kupoteza hela zake?
Mbaya zaidi kwa vile umejua hela anazo basi unakua unaomba ovyo ovyo bila kujali huyo mwanaume kipato chake ni kiasi gani kwa mwezi na anamajukumu yapi.

Mwanaume anatoa hela lakini zinakua zinamuuma na yeye, akiona huna manjonjo unaachwa solemba huta amini,
Style yenyewe kitandani unajua moja tu kifo cha mende basi, tabia ndo tusiseme mbaya haina mfano.

~Mabinti wengi wamekua wakianza kutongozwa sana wanajiona wao ndio kila kitu dunia hii, kwahiyo akikosana kidogo na mwanaume ambae hajafanya nae ngono hilo kosa linakua halina kurudiana tena,
Hata kama mwanaume ajirudi na kusema yaishe, wanawake mmekua wagumu kusamee, unaona ukatafute heshima upya kwa mwanaume mwingine, wakati mwanaume wako wa kwanza ndie mnatambuana nae tabia vizuri, wewe unamuona mjinga hafai.
Je huyo mwanaume mpya unaijua tabia yake?

~La mwisho kwa uzi huu
Wasichana mnatakiwa kujifunza kuheshimu mwanaume anayekufata kukutongoza, au kwa jambo jingine.
wanawake wazuri wanao ishi vizuri na wanaume utakuta ndie hana maringo hata kidogo, unaweza kuchukua namba yake bila kumuomba na ukimtafuta mkawasiliana vizuri tu, lakini wale wenzangu na mie wa sura na muonekano tunalazimisha na tabia tunalazimisha ukishika namba yake tu, utakutana na wewe umetoa wapi namba yangu?
Nani kakupa namba yangu?
Block za kufikia?
Msikilize mtu kwa heshima ujue anashida gani, na kama ni mahusiano mchunguze anatabia njema ya kufaa kua hata na urafiki na wewe?

Kwanza mimi nikisikia mwanamke anapanda juu kuhoji hivo namuona mshamba tu na hajiamini anajijua huwa anagawa namba yake ovyoovyo na kaisha zinguana na wanaume wengi.

Utakuta binti miaka 28 lakini hana hata rafiki wa kiume wa kusingiziwa, kila mwanaume anaewasiliana nae ni kuomba omba hela za njaa njaa tu, ufikirii hata kwamba huyu awe wakunipa michongo hapa mjini na mimi nijitafutie hela mwenyewe au connection za kupata kazi, kila anaekuja kwako unaona anafaa kua buzi la kuchuna.

La mwisho tena bila kusahau,
Ifike sehemu na nyie wanawake muanze kuchagu wenyewe nataka mwanaume wa aina gani, mwanaume ukimsalimia tu na kulitaja jina lake ni rahis sana kutengeneza ukarbu na wewe.
Mabinti msingoje kuendelea kukubali kuchaguliwa kama mafungu ya nyanya, bila hivo wanaume wenye future wataendelea kukupita tu na umri unazidi kwenda.
 
Mabinti msingoje kuendelea kukubali kuchaguliwa kama mafungu ya nyanya, bila hivo wanaume wenye future wataendelea kukupita tu na umri unazidi kwenda.

Hii sentesi ndio imebeba maana halisi ya mada nzima kwa wanaume wenye malengo nasio wahuni lakini 😃
 
Kuwa mwanamke aisee ni kazi sana. Mara upangiwe jinsi ya kuishi maisha yako na majitu ambayo wala huyajui. Bado kuna presha za kuolewa kabla hujafikisha miaka 30 ali mradi vurugu tupu. Asante Mungu kwa kuniumba kidume aisee. Ningekuwa mwanamke sijui kama ningeweza kuibeba hii mikatale ya mfumo dume [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Mwana,umetoa madini mazito Sana,Tena ni tanzanite kabisa,lakini yalivyo hayA masketi hua hayaelewi,sijui Nani aliyaroga.
Yatakuja kukupinga kwa mijiguvu yao ya mdomo tu,yaani hata yakiwa matoto hayA masketi yanachonga kishenzi,sijui kozi yalijifunzia wapi.
Nilikua napiga teaching tempo skuli Fulani ya masketi tupu,Basi yakiletwa kwangu,yamefanya makosa,nilikua siyahoji,ni kuyachapa tu kwa kwenda mbele,mpaka yakawa wakati mwingine yananiuliza,hivi sir do you have agirlfriend?
Why do you hate us so much.
 
cariha njoo huku kuna mtu anakubeep. Mpitie na Karma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mawazo mazuri ila waambie wanaume wenzako wawafundishe haya mabinti zao. Baba ndio kioo cha mwanaume yoyote kwa binti anzeni kuwashauri mabinti zenu.
 
Kuwa mwanamke aisee ni kazi sana. Mara upangiwe jinsi ya kuishi maisha yako na majitu ambayo wala huyajui. Bado kuna presha za kuolewa kabla hujafikisha miaka 30 ali mradi vurugu tupu. Asante Mungu kwa kuniumba kidume aisee. Ningekuwa mwanamke sijui kama ningeweza kuibeba hii mikatale ya mfumo dume [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Tena ww ndio unaonekana ungekuwa mtamu ww heeeh
 
Kuwa mwanamke aisee ni kazi sana. Mara upangiwe jinsi ya kuishi maisha yako na majitu ambayo wala huyajui. Bado kuna presha za kuolewa kabla hujafikisha miaka 30 ali mradi vurugu tupu. Asante Mungu kwa kuniumba kidume aisee. Ningekuwa mwanamke sijui kama ningeweza kuibeba hii mikatale ya mfumo dume [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Siku hizi hususan kuna wimbi kubwa sana la kupangiana maisha, na watu kutoa ushauri ambao hata hawajaombwa kwa watu ambao hata hawawajui.
 
Siku hizi hususan kuna wimbi kubwa sana la kupangiana maisha, na watu kutoa ushauri ambao hata hawajaombwa kwa watu ambao hata hawawajui.
Na utopolo huu huwezi kuuona huko kwenye jamii huru na zinazojitambua. Ni huku kwetu tu ambako watu wako makini sana kupangia, kuingilia na kufuatilia maisha ya wengine kuliko hata wanavyopanga, kuingilia na kufuatilia maisha yao wenyewe. Hovyooo !!!
 
Back
Top Bottom