Mwana,umetoa madini mazito Sana,Tena ni tanzanite kabisa,lakini yalivyo hayA masketi hua hayaelewi,sijui Nani aliyaroga.
Yatakuja kukupinga kwa mijiguvu yao ya mdomo tu,yaani hata yakiwa matoto hayA masketi yanachonga kishenzi,sijui kozi yalijifunzia wapi.
Nilikua napiga teaching tempo skuli Fulani ya masketi tupu,Basi yakiletwa kwangu,yamefanya makosa,nilikua siyahoji,ni kuyachapa tu kwa kwenda mbele,mpaka yakawa wakati mwingine yananiuliza,hivi sir do you have agirlfriend?
Why do you hate us so much.
Tena ww ndio unaonekana ungekuwa mtamu ww heeehKuwa mwanamke aisee ni kazi sana. Mara upangiwe jinsi ya kuishi maisha yako na majitu ambayo wala huyajui. Bado kuna presha za kuolewa kabla hujafikisha miaka 30 ali mradi vurugu tupu. Asante Mungu kwa kuniumba kidume aisee. Ningekuwa mwanamke sijui kama ningeweza kuibeba hii mikatale ya mfumo dume [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Siku hizi hususan kuna wimbi kubwa sana la kupangiana maisha, na watu kutoa ushauri ambao hata hawajaombwa kwa watu ambao hata hawawajui.Kuwa mwanamke aisee ni kazi sana. Mara upangiwe jinsi ya kuishi maisha yako na majitu ambayo wala huyajui. Bado kuna presha za kuolewa kabla hujafikisha miaka 30 ali mradi vurugu tupu. Asante Mungu kwa kuniumba kidume aisee. Ningekuwa mwanamke sijui kama ningeweza kuibeba hii mikatale ya mfumo dume [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Na utopolo huu huwezi kuuona huko kwenye jamii huru na zinazojitambua. Ni huku kwetu tu ambako watu wako makini sana kupangia, kuingilia na kufuatilia maisha ya wengine kuliko hata wanavyopanga, kuingilia na kufuatilia maisha yao wenyewe. Hovyooo !!!Siku hizi hususan kuna wimbi kubwa sana la kupangiana maisha, na watu kutoa ushauri ambao hata hawajaombwa kwa watu ambao hata hawawajui.
Tuheshimiane bro.Tena ww ndio unaonekana ungekuwa mtamu ww heeeh