Nalaumu sana mabinti, wanakosea sana kwenye mahusiano (Ep. 1)

Asante kwa kuvaa viatu vyetu! Wanaume wengi hawavai viatu vyetu wanajifikiria wao na wanawaza kibinafsibinafsi ndiyo maana wanaongea tu haya mambo kana kwamba ni mepesi!
 
Na utopolo huu huwezi kuuona huko kwenye jamii huru na zinazojitambua. Ni huku kwetu tu ambako watu wako makini sana kupangia, kuingilia na kufuatilia maisha ya wengine kuliko hata wanavyopanga, kuingilia na kufuatilia maisha yao wenyewe. Hovyooo !!!
Nakupendaga bure wallahi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Na tuaopewa hela na wanawake??
 
Dini ni siasa ya kale iliyovikwa utukufu wa Mungu asiyethibitishika.

Na kama unakataa kupangiana maisha, unatakiwa uelewe kwamba dini ndiyo mfumo mkubwa kabisa wa kupangiana maisha.

Tunazunguka humuhumu tu.
Mbon mimi imani niliyoipata kwenye Biblia, hainipangii maisha kabisa.
Nasali kokote wanapomtaja Yesu kristo.

Nasoma neno la Mungu vizuri, naishi kwenye neema tulipewa na Yesu kristo vizuri kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…