Mpaka hapo ushakubali kwamba umepangiwa kusali wanapomtaja Yesu Kristo.Mbon mimi imani niliyoipata kwenye Biblia, hainipangii maisha kabisa.
Nasali kokote wanapomtaja Yesu kristo.
Nasoma neno la Mungu vizuri, naishi kwenye neema tulipewa na Yesu kristo vizuri kabisa...
Maneno mengine yanasindikiza tu ila topic kubwa hapa ni HELA. Anyway nadhani mabinti wamekusikia
Ulikuwa unawajibuje hawa wana wa mungu?πMwana,umetoa madini mazito Sana,Tena ni tanzanite kabisa,lakini yalivyo hayA masketi hua hayaelewi,sijui Nani aliyaroga.
Yatakuja kukupinga kwa mijiguvu yao ya mdomo tu,yaani hata yakiwa matoto hayA masketi yanachonga kishenzi,sijui kozi yalijifunzia wapi.
Nilikua napiga teaching tempo skuli Fulani ya masketi tupu,Basi yakiletwa kwangu,yamefanya makosa,nilikua siyahoji,ni kuyachapa tu kwa kwenda mbele,mpaka yakawa wakati mwingine yananiuliza,hivi sir do you have agirlfriend?
Why do you hate us so much.
Hata iphone?hakuna jipya chini ya jua...acha kujisumbua.........!
Njoo pm...nikufunde[emoji4]Huo ufundi wa mapenzi ndo upi hebu mtufunze wanaume,
Hilo jukwaa lipo?Wrestling yangu na wewe ni jukwaa la dini tu, sio huku [emoji38][emoji38][emoji38]
That is logical non sequitur, neither hither, nor thither.Wewe dishi limeyumba,
Jikute Mungu sasa unaweza kila kitu kivyako.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa ujumla sijawahi Wala sitegemei kuwaamini Hawa viumbe,walioongea na snake
TrueDini ni siasa ya kale iliyovikwa utukufu wa Mungu asiyethibitishika.
Na kama unakataa kupangiana maisha, unatakiwa uelewe kwamba dini ndiyo mfumo mkubwa kabisa wa kupangiana maisha.
Tunazunguka humuhumu tu.
Unamaanisha APPLE walilokula adamu na hawa edeni..
NakubaliKifupi ninacho kiona mimi kwa mabint hawa wa sasa ni kwamba wenyewe kwenye maswala ya mapenzi na future walisha jitoa ufaham kwa makusudi na kuenda nayo hivo hivo ila sisi wanaume ndio tunajifanya tupo serious sana na mapenzi utafikiri kuna kitu kipya tunataka kugundua......Siku zote sitaacha kuwashauri Mwanaume jifunze kuishi maisha yako bila kutegemea uwepo wa mwanamke utafaidi maisha kwanza ndio wanawake watakutafuta wenyewe na kujilengesha kwako wakujue na wewe wakija wabinue matako yao chapa endelea kuishi maisha yako hivyo tu ....sijasema uwe domo zege yaani ukiishi maisha yako wasalimu na kuongea mambo ya msingi tu, alafu uwe friendly na kila jinsia kila rika.....niamin mm utafaidi