Jamani, safi sana. Ngoja nije PM tuyajenge, natafuta dawa ya kuingia strong room ya BoT nichukue hela na kutoka bila kuonekana na kiumbe yeyoteNdio Mkuu..
bila shaka wewe ndio haujanielewa, au ulitaka nikwambie moja kwa moja uache kuamini nguvu za giza?Mkuu hizi Nondo huwezi Kuelewa..
Ila zinafanya kazi mkuu..bila shaka wewe ndio haujanielewa, au ulitaka nikwambie moja kwa moja uache kuamini nguvu za giza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila jiandae kwa kurithi kiti cha babu na utapaswa kurudi kijijini, wewe ndio chaguo pekeeIla zinafanya kazi mkuu..
Ahahahaa hapa ndio Kuna Kimbembe..Sawa mkuu ila jiandae kwa kurithi kiti cha babu na utapaswa kurudi kijijini, wewe ndio chaguo pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
binadamu mwenzetu semaBinadamu Mwenzako..
Hivi kumbe ulipita huku?? Akikujibu cha kueleweka nitagumemaanisha nini ulivyosema mwenzangu??
Kafanyani??binadamu mwenzetu sema
anasema we mwenzangu eti??Kafanyani??