Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,nikumbushe hili andko lipo kwenye kitabu gani?Usimjibu Mpumbavu Kadri ya Upumbavu wake, kwa maana mtafanana Naye!
Mkuu waambie wengi wamekulia ushuani hivi vitu hawajui..Yeah ni kweli kabisa nuksi mikosi na bahati vyote vinapatikana kwa wanawake ukikosea utaishi maisha ya tabu sana.huu sio uchawi bila ndivyo ilivyo bisha uwezavyo jibu litabaki lile lile matatizo mengi huanzia kwa wanawake. Hakuna uchawi ubaya kama ukitegewa kupitia mwanamkee
Sent using Jamii Forums mobile app
Au unamtangazia biashara babu yako mdogoUtakuja kusema mimi ni Mganga
ahahahaa Maybe..Waligundua udhaifu wako ni wanawake ndo maana wakaamua kukuundia movie LA kukutisha, na walijua unatamaa na wanawake mababu zetu Wa zamani walikuwa na akili sana.
Sent using Jamii Forums mobile app