NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Wadau za pilika zinasemaje?

Kuna dada yangu mmoja kutoka kolomije anaitwa nalendwa huyu dada ni mrembo lakin hayuko romantik kabisa hata kidogo

Kwanza mda wote utamkuta jukwaa la kimataifa akijadil habar za vita na akina kokuyo na group lao. Yaan ndege zote za kivita za kimarekan, kirus na kiisrael anazijua
Makombora yote ya masafa marefu ya bwana kim anayajua
Yaan manowar zote za mrus anazijua had majina yake

Alafu kinachonisikitisha zaid lugha anayotumia ni kizungu tu
yaan iran akizindua bom jipya tiar nalendwa utakuta kashajua linauwezo gan na linaweza hata piga yerusalem

Nalendwa anamjua had wazir wa ulinz wa iran na marekan, anajua had ni nan yuko nyuma ya vita inayoendelea huko mashariki ya kat

Cha pili yeye mda wote yuko jukwaa la michezo akijadil sijui man city itapigwa mkono na man u, sijui mara lukaku ni noma hata mess hamfikii na story zingine kuhus mchezo

Iv kweli wadau ukiwa na demu kama NALENDWA unaweza hata kumudanganya kitu kuhusu michezo na makombora ya masafa marefu?
.raha ya demu awe hajui chochote kuhusu mchezo na habar za kivita

Sasa huyu nalendwa hii tabia kaitoa wapi?

Badilika bhana nalendwa yaan kiukweli hauko romantik kabisa msukuma mwenzangu

LONDON BOY
 
hapo inabidi ukubali tu kuwa mwanadada Nalendwa ni bigger mind..
mwanamke kama huyo Beira huwezi kuwa nae maana atkuwa anaiona akili yko kuwa bado inamitazamo yakitoto mnooo ..maana waweza jikuta umekaa nae yapata mwezi mzima lakini hata uthubutu wakutaka kujifnza ufugajia wa sungura huna ..unawaza man u na arsenal cjui Chelsea kafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…