Hapana mkuu mwanamke ni mwanamke tu hatakiwi kuwa kama nalendwa kila saa yeye ni kujadili makombora ya atomic tu atafanya had nikose shemeji maana watu watakuwa wanamuogopa
Kweli kabisa mkuuhapo inabidi ukubali tu kuwa mwanadada Nalendwa ni bigger mind..
mwanamke kama huyo Beira huwezi kuwa nae maana atkuwa anaiona akili yko kuwa bado inamitazamo yakitoto mnooo ..maana waweza jikuta umekaa nae yapata mwezi mzima lakini hata uthubutu wakutaka kujifnza ufugajia wa sungura huna ..unawaza man u na arsenal cjui Chelsea kafanyaje
aiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa nayeAnawajua vibaya mno hao watu mkuu wangu
Hahahaaaaa umefika my sister[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Beira B., naona leo umeamua kunitolea uvivu! [emoji23]
Kuna wakati huwa nakufananishaga na Kui..Nyie watu lakini! [emoji1]
Sasa ni vizuri kujua nini kinaendelea duniani jamani!
Kabisaa mkuu umemaliza yote... Kiukweli huyu Dada Nalendwa namkubali sanaaiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa naye
binafsi huwa sipndi wanawake wenye mambo mambo mengi yakujifnya watoto wamjini kupitiliza ...muda mwingi wanashirikisha fkra zao ktk mambo yasiyo na tija yakina wema sepetu .zari ..cjui alikiba ..hamisa mobeto ..party kila Siku yaani huwa tunawaita mapaka ..hao hapana aiseee
Iv mkuu kwa mfano wewe utapiga story gan na nalendwa akueleweaiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa naye
binafsi huwa sipndi wanawake wenye mambo mambo mengi yakujifnya watoto wamjini kupitiliza ...muda mwingi wanashirikisha fkra zao ktk mambo yasiyo na tija yakina wema sepetu .zari ..cjui alikiba ..hamisa mobeto ..party kila Siku yaani huwa tunawaita mapaka ..hao hapana aiseee
HahahahaHahaha!, acha tu kokuyo huyu dogo naona kaniota leo! [emoji28]