NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

hapo inabidi ukubali tu kuwa mwanadada Nalendwa ni bigger mind..
mwanamke kama huyo Beira huwezi kuwa nae maana atkuwa anaiona akili yko kuwa bado inamitazamo yakitoto mnooo ..maana waweza jikuta umekaa nae yapata mwezi mzima lakini hata uthubutu wakutaka kujifnza ufugajia wa sungura huna ..unawaza man u na arsenal cjui Chelsea kafanyaje
Kweli kabisa mkuu
 
Anawajua vibaya mno hao watu mkuu wangu
aiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa naye
binafsi huwa sipndi wanawake wenye mambo mambo mengi yakujifnya watoto wamjini kupitiliza ...muda mwingi wanashirikisha fkra zao ktk mambo yasiyo na tija yakina wema sepetu .zari ..cjui alikiba ..hamisa mobeto ..party kila Siku yaani huwa tunawaita mapaka ..hao hapana aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sawa Beira B., naona leo umeamua kunitolea uvivu! [emoji23]
Hahahaaaaa umefika my sister
Huo ndo ujumbe wako ambao nimekuwa nao siku nying moyon mwangu

Yaan kiukwel dada yangu hauko romantic maana wewe kila vita unaijua

Utanifanya nikose shemej
 
aiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa naye
binafsi huwa sipndi wanawake wenye mambo mambo mengi yakujifnya watoto wamjini kupitiliza ...muda mwingi wanashirikisha fkra zao ktk mambo yasiyo na tija yakina wema sepetu .zari ..cjui alikiba ..hamisa mobeto ..party kila Siku yaani huwa tunawaita mapaka ..hao hapana aiseee
Kabisaa mkuu umemaliza yote... Kiukweli huyu Dada Nalendwa namkubali sana
 
aiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa naye
binafsi huwa sipndi wanawake wenye mambo mambo mengi yakujifnya watoto wamjini kupitiliza ...muda mwingi wanashirikisha fkra zao ktk mambo yasiyo na tija yakina wema sepetu .zari ..cjui alikiba ..hamisa mobeto ..party kila Siku yaani huwa tunawaita mapaka ..hao hapana aiseee
Iv mkuu kwa mfano wewe utapiga story gan na nalendwa akuelewe

Wewe unajua kim jong ana kombora gan jipya? Sasa hayo yote nalendwa anayajua

Huyu dada kwakweli mimi kashanishinda tabia
 
Back
Top Bottom