Ni moja kati ya wanawake ninao wakubali uku JF, akiwepo Sky Eclat, Everlenk na baadhi.
hahaaa nenda ukameze ma theory Google huko ..sio unakaa kaa tu kinyonge ..meza ma theory hayo kisha mtokeee..Iv mkuu kwa mfano wewe utapiga story gan na nalendwa akuelewe
Wewe unajua kim jong ana kombora gan jipya? Sasa hayo yote nalendwa anayajua
Huyu dada kwakweli mimi kashanishinda tabia
Iv mkuu kwa mfano wewe utapiga story gan na nalendwa akuelewe
Wewe unajua kim jong ana kombora gan jipya? Sasa hayo yote nalendwa anayajua
Huyu dada kwakweli mimi kashanishinda tabia
Hahaha...naona sasa tuanze kuchungulia jukwaa la Chit-chat na ubuyu ili Dogo Roho yake itulie[emoji38]Thanks kokuyo!, halafu wewe ndo unaniponzaga na materials zako mubashara za silaha na manowari za kivita! [emoji1]
hahaas kwahiyo kwahiyo static nawewe una prove kabisa kuwa mkuu hayupo romantic ..Aiseee enzi za umaga Jamaa alikuwa mtata mnoo mkuuDah! umaga umenkumbusha mbali, dada hayupo romantic.
Huyu dada hakuna asiye mkubal tatizo moja nililoliweka hapo juu
asante mkuu ..huyo Binti ni hazina ..anastahiki kuwa waziri wa ulinzi ama wa mambo ya ndani na nje maana anazijua vyema siasa za kimataifa
Hongera mkuu kuichangamsha chit-chat kupitia Beira Boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Beira B., naona leo umeamua kunitolea uvivu! [emoji23]
Hahaha... Leo tumerusha Musiba Submarine Launched Ballistic missilesHahahhaaa mkuu ze kokuyo umefika
Iv marekan leo karusha makombora gan aisee
Wewe ndo unafanya dada yangu aonekane kama mwanaume kwa habar zako za vita vita
tuko pamoja mkuuHahaha!, Asante kwa compliment mkuu! [emoji120]
Mkuu hebu muulize kuwa leo urus kapeleka makombora wap?hahaaa nenda ukameze ma theory Google huko ..sio unakaa kaa tu kinyonge ..meza ma theory hayo kisha mtokeee..
yaani unajikuta unabuhadithia habari za Mr Kim na uko wake wote unamtajia mpka majina ya Shangazi zake ..ukitoka hapo unakwenda Russia kwa bwana Putin ..unampa feedback zote za putin kuanzia aliposoma mpaka demu wake wakwanza aliyemuingiza Putin kwenye sayari ya mapnzi ..tatizo vijana niwavivu wakusoma hahaaa
Hao ndo aina ya wadada tunaowahitaji kwa sasa kwenye Taifa hili na Zama hizi...Sio wale wa kupewa favor kwenye Viti maalumWewe ndo una mharibu afu unajifanya kumkubar