NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Iv mkuu kwa mfano wewe utapiga story gan na nalendwa akuelewe

Wewe unajua kim jong ana kombora gan jipya? Sasa hayo yote nalendwa anayajua

Huyu dada kwakweli mimi kashanishinda tabia
hahaaa nenda ukameze ma theory Google huko ..sio unakaa kaa tu kinyonge ..meza ma theory hayo kisha mtokeee..
yaani unajikuta unabuhadithia habari za Mr Kim na uko wake wote unamtajia mpka majina ya Shangazi zake ..ukitoka hapo unakwenda Russia kwa bwana Putin ..unampa feedback zote za putin kuanzia aliposoma mpaka demu wake wakwanza aliyemuingiza Putin kwenye sayari ya mapnzi ..tatizo vijana niwavivu wakusoma hahaaa
 
Mkuu hebu muulize kuwa leo urus kapeleka makombora wap?
 
Back
Top Bottom