Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Poa poaSawa Mkuu ntajitahidi kuanzia leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poaSawa Mkuu ntajitahidi kuanzia leo
Utakua mwenyeji wangu hukoPoa poa
HahahaHahahahaaaaa mkuu hii ndo chit chat sasa sio kule kwenu ngumi nje nje
Usijali mkuu kila aina ya vichochoro utavijua..Utakua mwenyeji wangu huko
Hapana aseee
We jamaa si ndio wa Ccm?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Wadau za pilika zinasemaje?
Kuna dada yangu mmoja kutoka kolomije anaitwa nalendwa huyu dada ni mrembo lakin hayuko romantik kabisa hata kidogo
Kwanza mda wote utamkuta jukwaa la kimataifa akijadil habar za vita na akina kokuyo na group lao. Yaan ndege zote za kivita za kimarekan, kirus na kiisrael anazijua
Makombora yote ya masafa marefu ya bwana kim anayajua
Yaan manowar zote za mrus anazijua had majina yake
Alafu kinachonisikitisha zaid lugha anayotumia ni kizungu tu
yaan iran akizindua bom jipya tiar nalendwa utakuta kashajua linauwezo gan na linaweza hata piga yerusalem
Nalendwa anamjua had wazir wa ulinz wa iran na marekan, anajua had ni nan yuko nyuma ya vita inayoendelea huko mashariki ya kat
Cha pili yeye mda wote yuko jukwaa la michezo akijadil sijui man city itapigwa mkono na man u, sijui mara lukaku ni noma hata mess hamfikii na story zingine kuhus mchezo
Iv kweli wadau ukiwa na demu kama NALENDWA unaweza hata kumudanganya kitu kuhusu michezo na makombora ya masafa marefu?
.raha ya demu awe hajui chochote kuhusu mchezo na habar za kivita
Sasa huyu nalendwa hii tabia kaitoa wapi?
Badilika bhana nalendwa yaan kiukweli hauko romantik kabisa msukuma mwenzangu
LONDON BOY
Anavijua mkuu wewe hata ungemuuliza ndege yenye uwezo wa kudaka makombora na kuyatupa baharin anaijua tu
Ni kweli kabisa mimi huwa nikiingia kule nikikuta habar ya vita afu nisikute koment yako na nalendwa bas huwa nalog off kabisa kwa hasira maana nyie watu huwa si wa kimchexo mchezo
shida ni kwamba icelad haina jeshi...Anavijua mkuu wewe hata ungemuuliza ndege yenye uwezo wa kudaka makombora na kuyatupa baharin anaijua tu
hatari mnooo kesha nataka nkimaliza kazi zangu nipitie nyuzi zake zote ambazo sikuwahi kupata fursa ya kuzisoma ..tatizo na wewe umefnga pm yko so siwezi kuzipata nyuzi zako ..so ningezipitia nazenyewe ili niweze kubust huu ubongo ..maana lasivyo nitakuwa zezeta bure[emoji106] [emoji108]
Habari zake nzito haswa!
Mkuu hilo jukwaa huwa kaz yake ni kujadir aina ya papuch tu[emoji23] Asee hilo jukwaa kila nikijarbu kulichunguliaga sijawahi kulielewaga[emoji38]
Hahahaaaa mkuu MMU? unataka aache kuchambua drone za israel aanze kuchambua aina za papuch? Hana akir ndogo kias hicho
HAHAAAAAA HAMKAWII KUANZISHA UZI UNAOSEMA KuWA KUNA MADADA WANAONUKA CHIU ..HPO SASA AKISHAONAGA HEADING ANAKIMBIA MBIOHahahaaaa mkuu MMU? unataka aache kuchambua drone za israel aanze kuchambua aina za papuch? Hana akir ndogo kias hicho