NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

We jamaa si ndio wa Ccm?
Nasikia trh 26/4
 

Attachments

[emoji106] [emoji108]

Habari zake nzito haswa!
hatari mnooo kesha nataka nkimaliza kazi zangu nipitie nyuzi zake zote ambazo sikuwahi kupata fursa ya kuzisoma ..tatizo na wewe umefnga pm yko so siwezi kuzipata nyuzi zako ..so ningezipitia nazenyewe ili niweze kubust huu ubongo ..maana lasivyo nitakuwa zezeta bure
 
[emoji23] Asee hilo jukwaa kila nikijarbu kulichunguliaga sijawahi kulielewaga[emoji38]
Mkuu hilo jukwaa huwa kaz yake ni kujadir aina ya papuch tu

Unaweza kuta maada inazungumuzia kat ya wanawake mabonge na vimbau mbau wapi huwa ni watamu zaidi? Sasa mkuu wewe hapo utajadir kitu gan wakat ukazoea kuchambua drone na akina elungata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…