Nyie na elungata, huwa ni ndege wafananao
Hahahaaaa ukimkimbia bas lile jukwaa litakosa wateja maana mie huwa nakuja kuwachungulia nyie tu.
Lakin jitaid uwe unamkataa kiaina
Hahaha....usiku wa leo unaisha vizuri kwa kweli[emoji38] [emoji2]Sawa mdogo wangu nitafatilia Ushauri wako! [emoji1]
Ataweza kama alivyoweza kwenye jukwaa la kimataifaMkuu huyo kule hapawez huyo habar za nan mtamu kati ya demu mwenye wowowo na kimbau mbau haziwez kabisa
Mkuu huyo kule hapawez huyo habar za nan mtamu kati ya demu mwenye wowowo na kimbau mbau haziwez kabisa
Ze kokuyo myahudi mwenzangu[emoji23]Sawa Mkuu ntajitahidi kuanzia leo
Hahaha....usiku wa leo unaisha vizuri kwa kweli[emoji38] [emoji2]
Siku hizi wanatuita wayahudi wa Jf[emoji23]Ze kokuyo myahudi mwenzangu[emoji23]
Naaam nalifurahia...Elgibo ni uyahudini ujue[emoji23]Siku hizi wanatuita wayahudi wa Jf[emoji23]
Mrembo nikibisha hodi pm naweza kufunguliwa eti[emoji23]Acha tu!, weekend inaishia vizuri sana naona. [emoji23]
ni nchi ya amani.....Wanaishije mkuu