Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Umepata kiwanja cha kujenga hiyo gym yako? Kiko wapi?Habarini ndugu poleni na majukumu na Heri ya Mwendelezo Wa sikukuu.
Wakuu Nilikua naomba ushauri na design kuhusiana na ujenzi wa Gym ya watu kufanya cardio exercise
Asanteni Sana Wakuu.
Ndio kiwanja nimepata MkuuUmepata kiwanja cha kujenga hiyo gym yako? Kiko wapi?
Hongera sanaNdio kiwanja nimepata Mkuu
Nimepata sehemu ya dodoma. Sehemu ya itegaHongera sana
MkuuUmepata kiwanja cha kujenga hiyo gym yako? Kiko wapi?
Mazoezi ya cardio yanahusisha
PIa mazoezi ya cardio huhusisha vifaa hivi:-
- Brisk walking
- Running
- Jogging or jogging in place
- Burpees
- Bear crawls
- Swimming
- Water aerobics
- Cycling/bicycling
- Dancing
- Cross-country skiing
- Race-walking Volleyball, basketball, soccer or racquetball
- Rowing
- Kayaking, paddling or canoeing
- Circuit training
- Jumping rope
- Stair climbing
- In-line skating
- Martial arts
- Golfing
- Hiking
- HIIT (High Intensity Interval Training)
- Mountain climbing
- Jumping jacks, squat jumps, split jumps
- Roller blading
- Kickboxing
- Treadmill
- Stepping machine
- Stationary cycles
- Ski trainer
- Rowing machine
- Elliptical trainer
- Recumbent bike
- Upright bike
- Stair climber
- Upper body ergometer
- Wave-trainer
- Versa-climber
- Precor AMT
Uko vizuri, Itega viwanja ni ghali.... Inshallah Ukamilishe tuje maana ukanda huu hatuna GYM.Nimepata sehemu ya dodoma. Sehemu ya itega
Hivi pale jengo la psssf Dom hakuna gym?Uko vizuri, Itega viwanja ni ghali.... Inshallah Ukamilishe tuje maana ukanda huu hatuna GYM.
sijawahi kufuatilia, ila sidhani kama ipo.Hivi pale jengo la psssf Dom hakuna gym?
Maeneo ya bungeni kuna gym moja nzuri tuUko vizuri, Itega viwanja ni ghali.... Inshallah Ukamilishe tuje maana ukanda huu hatuna GYM.
Naifahamu, mimi nazungumzia maeneo ninayoishi kiasi kwamba mtu unaweza kutoka kwako kwa mguu ukaingia gym, ukatoka na mijasho ukafanya zoezi la kutembea tena kurudi kwako uoge upumzike.Maeneo ya bungeni kuna gym moja nzuri tu
Ok, dada.Naifahamu, mimi nazungumzia maeneo ninayoishi kiasi kwamba mtu unaweza kutoka kwako kwa mguu ukaingia gym, ukatoka na mijasho ukafanya zoezi la kutembea tena kurudi kwako uoge upumzike.
Sio ile tunatoka mazoezini halafu unaingia tena kwa gari kurudi nyumbani.