ASCUDA T
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 120
- 33
Naumia Nikimkumbuka Mtoto Aliye Na Wazazi Maskini Hata Kujenga Nyumba Ya Udongo Ni Shida, Nalia Pamoja Na Watoto Waliokosa Mkopo Huku Wazazi Wao Wakilipwa Fidia Ndogo Kupisha Mabepari Wakiendelea Kuiba Utajiri Wetu, Nalia Pamoja Watoto Wa Maskini Waliyosoma Kwa Pesa Za Vitumbua Na Maandazi Na Xasa Wamenyimwa Mkopo, Tazama Wanasema Kipaumbele Kipaumbele Kipi Wakati Taifa Linahitaji Wataalamu Nyanja Zote. Nimesoma Kwa Kujituma Tena Kwa Kibatari Leo Mnaninyima Mkopo. Ok Mungu Tenda Hukumu Ya Haki Maana Kama Nchi Yangu Inashika Nafasi Ya Pili Duniani Kunyanyasa Wazee Huku Wao Wanatembelea Magari Ya Kifahari, Watoto Wao Wanasoma Shule Za Kifahari Ambazo Mtoto Wa Maskini Hana Ndoto Mungu Haoni! Anaona Siku Zaja Mungu Anaweza Yote. J4 Tuwaombe Haki Zetu Wakituua Mungu Atatupokea. Asanteni Na Tumtegemee Mungu Kwa Tuliyokosa Mkopo