Nalia na fullbacks wa Simba yangu!

Narudia Tena shida kubwa ya Simba Ni No 6 kiungo WA UKABAJI.

ANGALIA Aucho akiwa 6 anavyoenda kupambana na KIBU Denis.

Mtajifunza lini MPIRA?????????????????????????
 
Ilipaswa wapumzishwe au kufanyiwa rotations za kimkakati. Mechi na Dodoma jiji ililazimika aingie Israel kuwasaidia.

Simba hufungwa kupitia makosa ya hawa mabeki. Pamoja bado top class lakini ni muhimu wawe wanapumzishwa.
 
... ila swali ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile, hapana. Kiubinadamu haiwezekani lazima wadrop, ndio nilichokiona mimi since msimu uliyoisha.
Simba 2 - 0 Dodoma FC
Goli la kwanza mfungaji Baleke, cross ya Zimbwe
Goli la pili mfungaji Phiri, cross ya Kapombe
 
Kwa sasa wanaweza wasikuelewe sababu wameshinda mechi mbili za ligi na wamebeba ngao ya jamii.

Kuna siku zinakuja hapo mbeleni, hizo zitakuwa ni siku mbaya sana kwa Simba. Timu itamegeka.
 
Toa pesa watu wakalete fullbacks mnao wataka, unaongea huku pesa haitoki mfukoni mwako,

Wee kuwezaa?
 
Yanga walifika fainal ipi? Na walianza michuano ipi? Huyo kocha aliye achiwa majukumu hakuwepo tangu mwanzo, wakati wanafurushwa na Al hilal?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…