Nalia na fullbacks wa Simba yangu!

Nalia na fullbacks wa Simba yangu!

Narudia Tena shida kubwa ya Simba Ni No 6 kiungo WA UKABAJI.

ANGALIA Aucho akiwa 6 anavyoenda kupambana na KIBU Denis.

Mtajifunza lini MPIRA?????????????????????????
 
Wakuu

Binafsi toka msimu ulioisha nimeona ile quality ya zimbwe na mwenzie kapombe inapungua na mistakes zinakuwa nyingi hasa kwa kapombe

Mfano Kapombe unakuta anatoa pasi sio sahihi, akipanda anachelewa kurudi, krosi Mara apige nje, muda mwingi naona tunaangalia kijui kiungo, sijui ushambuliaji ila maeneo ya full back kunihitaji rotations.

Ni kweli Kapombe na Zimbwe ni fullbacks bora kuwahi kutokea Tanzania ila swali ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile, hapana. Kiubinadamu haiwezekani lazima wadrop, ndio nilichokiona mimi since msimu uliyoisha.

Ushauri: Kama Simba umekosa fullbacks wa kuwapa changamoto kwenye wachezaji wa ndani, kwanini usitenge mzigo wa kutosha na kutafuta fullback mzuri ambaye anaweza kucheza hata namba zote 2 na 3 ili aweze kuwapa changamoto?

Nahitaji maoni yenu wadau, ahsanteni, nawasilisha.
Ilipaswa wapumzishwe au kufanyiwa rotations za kimkakati. Mechi na Dodoma jiji ililazimika aingie Israel kuwasaidia.

Simba hufungwa kupitia makosa ya hawa mabeki. Pamoja bado top class lakini ni muhimu wawe wanapumzishwa.
 
... ila swali ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile, hapana. Kiubinadamu haiwezekani lazima wadrop, ndio nilichokiona mimi since msimu uliyoisha.
Simba 2 - 0 Dodoma FC
Goli la kwanza mfungaji Baleke, cross ya Zimbwe
Goli la pili mfungaji Phiri, cross ya Kapombe
 
Kwa sasa wanaweza wasikuelewe sababu wameshinda mechi mbili za ligi na wamebeba ngao ya jamii.

Kuna siku zinakuja hapo mbeleni, hizo zitakuwa ni siku mbaya sana kwa Simba. Timu itamegeka.
 
Naunga mkono hoja ila Kapombe msimu uliopita alikuwa kiwango cha juu. Kwenye ngao Kapombe alipwaya kiasi, nakumbuka kusema hivyo mechi na Singida. Zimbwe nilishamuongelea sana nikaonekana labda ni hater au nataka kumuharibia rizki yake, nikawaachia wakulungwa waliseme wenyewe wakati ukifika.

Shida ya Simba wachezaji ambao ndiyo "weakest link" ndiyo macaptain kwa hiyo shughuli ya kuwaweka benchi inakuwa ngumu hata kwa kocha.
Toa pesa watu wakalete fullbacks mnao wataka, unaongea huku pesa haitoki mfukoni mwako,

Wee kuwezaa?
 
Chekini yanga walifika hadi fainali coz ya kumuachia majukumu kocha.....sisi Simba Nini kimetuloga???.....tunaipenda Sanaa timu yetu Ila kuna muda inabidi tuwaachie wenye profession zao....ww unajidai kuujua mpira umesomea wapi ww???au kuangalia TU kwenye Tv ndio unahisi Ni rahisi kiasi hicho????.....hapana!!!!.....
Yanga walifika fainal ipi? Na walianza michuano ipi? Huyo kocha aliye achiwa majukumu hakuwepo tangu mwanzo, wakati wanafurushwa na Al hilal?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom