FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Ha ha ha tupo wengi kama weweIlikuwaga raha Sana enzi hizo nakumbuka ilikua kila jumapili nikitoka Sunday school napitia kwa muuza magazeti kupitia katuni kadhaa nacheka mpaka napotea njia
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dah gazeti la Bongo lilikuwa sio mchezo, yale mastori ya mule ndani ni zaidi ya bongo muvi zote kombine hazifikii utamu hule, halafu kwa wale mabaharia tunaopenda unyamwezi lilikuwa gazeti letu sana, na stori yetu ya "msako wa mr x", gazeti lilikua na harakati za maisha nyingi sana. Halafu pale mbele kulikuwa na picha ya stori ya mwezi unakuta bonge mmoja la mdada kakamilika kila idara, halafu pembeni kuna bishoo mmoja matata sana si mchezo..
Bila kumsahau Mapungo kwenye ubora wakeUnawakumbuka ,Nchumali,Bob mikwara,Wapinzani wa jadi,dunia gunia ,Halali ya mshezi toleo 89 WABIRIANIA HALALII BAMIA [emoji23]
Bila kumsahau Mapungo kwenye ubora wake
Hahah ila Kapteni Mapungo alikuwa na mikwara sana Aisee[emoji23][emoji1787]Mkuu apa nipo na gazeti la bongo linaloonesha zawadi ya uwanja mpira kutoka Hyati Mkapa, kwa wa watz .kinachonichekesha ni Mapungu kuajiriwa kuchezea klabu ya mambele ,kosa linakuja anapokwenda disco ,anapata demu mkali wanaenda Gest ,Then mapungo anafumaniwa Hadi na waandishi wanampigwa picha ,Kisha picha zinazagaa Kila mahali Hadi kwa kocha kwa aibu afukuzwa.
Bongo bhana,sijui nitaipatawapi?
Nawakumbuka mkuu, nyakati hizi maisha yalikua matamu sana.Unawakumbuka ,Nchumali,Bob mikwara,Wapinzani wa jadi,dunia gunia ,Halali ya mshezi toleo 89 WABIRIANIA HALALII BAMIA [emoji23]
[emoji23] zile timu zilikuwa zinaitwa wabush na watown kama nipo sahiiHahah ila Kapteni Mapungo alikuwa na mikwara sana Aisee,
Mie nakumbuka tu yale mazoezi yao huku wamejifunga mawe miguuni..
Kilichokuwa kinanifurahisha ni yale maneno yake akiwa uwanjani ubabe juu ya ubabe..
Ukweli kuna vitu tunavimiss,
Kabisa mkuu hauko mbali na ukweli[emoji23] zile timu zilikuwa zinaitwa wabush na watown kama nipo sahii
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hayo na magazeti maarufu ya burudani miaka ya 90s mpaka, kwa wakazi wa dar walikuwa wanaelewa sana hizo kitu huwaambii kitu gazeti moja linatuzwa linasomwa na mtaa mzima, unasoma kila siku story hazichoshi, kuna watu walikua maaraufu kuliko wanasiasa, kina kipepe, lodi lofa, mapun'go, bettina na zena.Ni magazeti gani haya? Siyo kila mtu kazeeka kama nyie.
[emoji23] hao sio watu halisi ni character tuu wa magazetini sema walikuwa maarufu sana, waligusa sana, "ukisikia mtu anaambiwa unaharakati kama Pimbi" au "Madenge " ni cultural influence ya hayo magazetiBado wapo hai hao kina Kipepe?
Magazeti ya kitambo kidogo....kulikuwa naNi magazeti gani haya? Siyo kila mtu kazeeka kama nyie.
Uzee mwisho Facebook hum hakuna wazeeNi magazeti gani haya? Siyo kila mtu kazeeka kama nyie.
Magazeti ya kitambo kidogo....kulikuwa na
TABASAMU
BONGO
SANI na
AMBHA....
those back days
Hahah ila Kapteni Mapungo alikuwa na mikwara sana Aisee,
Mie nakumbuka tu yale mazoezi yao huku wamejifunga mawe miguuni..
Kilichokuwa kinanifurahisha ni yale maneno yake akiwa uwanjani ubabe juu ya ubabe..
Ukweli kuna vitu tunavimiss,