Nalia na gazeti la zamani Sanifu, Sani, Tabasamu, By Kingo, Bongo na kadhalika, kwani ni matajiri katika ulimwengu wa sasa wa katuni

Msako wa MR X ilkua hatari tupu, movie flani la kibabe...

Watu hawa walisapot sana kipaji changu cha uchoraji
Dah gazeti la Bongo lilikuwa sio mchezo, yale mastori ya mule ndani ni zaidi ya bongo muvi zote kombine hazifikii utamu hule, halafu kwa wale mabaharia tunaopenda unyamwezi lilikuwa gazeti letu sana, na stori yetu ya "msako wa mr x", gazeti lilikua na harakati za maisha nyingi sana. Halafu pale mbele kulikuwa na picha ya stori ya mwezi unakuta bonge mmoja la mdada kakamilika kila idara, halafu pembeni kuna bishoo mmoja matata sana si mchezo.
Wa
 
Biashara Ile awamu ikawa hailipi tena
 
Back
Top Bottom