Nalia na gazeti la zamani Sanifu, Sani, Tabasamu, By Kingo, Bongo na kadhalika, kwani ni matajiri katika ulimwengu wa sasa wa katuni

Hahahaha mkuu umenifurahisha sana hawa jamaa walikua maarufu sanq, ngoja niongezee kina Pimbi, mzee kifimbo cheza, lodilofa, madenge n.k
 
Siyo dar, nchi nzima
 
Ha ha ha
 
Hatari sana hili jarida asee. Lilikua linatoka mwezi mpaka mwezi lkn hiyo shauku ya kulisubiri ilikua kubwa. Wale waliokua wanachora picha za rangi pale njee ni watu hatari sana. Kupitia jarida la bongo ndio nilimjua mtunzi Eddie Ganzel. Huyu alikua mtu na nusu kwenye utunzi. Majarida kama yale yanachochea sana ari ya watu kupenda kusoma. Kwa sasa ni historia.
 
Mpaka machozi yamekaribia kudondoka.Zamani rahaaaaa.
 
Daahh Bob mazishi,pimbi,lod lofa ,zena betina,
Mabushi star na town Starr hahaaahaaa mechi yao haikua ya kitoto !!!
Tanzania kulikua na vipaji vya kuchora
 
Unawakumbuka ,Nchumali,Bob mikwara,Wapinzani wa jadi,dunia gunia ,Halali ya mshezi toleo 89 WABIRIANIA HALALII BAMIA ๐Ÿ˜‚
Aisee chalii unaongelea nini I? Yanisikupati kabisa naona mauza uza ariifff
 
Aisee chalii unaongelea nini Yanisikupati kabisa naona mauza uza ariifff

"Usilolijua litakusumbua",song
Ivi iliimbwa na bendi gani, mkuu. Rekebisha hayo maneno yenye red๐Ÿ‘†
Sumbukuku.
90s๐Ÿ‘ˆ
Only๐Ÿ‘† ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
"Usilolijua litakusumbua",song
Ivi iliimbwa na bendi gani, mkuu. Rekebisha hayo maneno yenye red๐Ÿ‘†
Sumbukuku.
90s๐Ÿ‘ˆ
Only๐Ÿ‘† ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
Hilo songi Aisee mtu wangu Inanikumbusha mbali kichiz. Ulimbwa na Justin bibier akiwashirikisha msondo ngoma
 
Daahh Bob mazishi,pimbi,lod lofa ,zena betina,
Mabushi star na town Starr hahaaahaaa mechi yao haikua ya kitoto !!!
Tanzania kulikua na vipaji vya kuchora
Kuna Bob mikwara,chepe,pepe,Dr love pimbi,mzee Nani na wakeze,kulikuwa na mapacha wanazingua hamna mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ