Nalia na gazeti la zamani Sanifu, Sani, Tabasamu, By Kingo, Bongo na kadhalika, kwani ni matajiri katika ulimwengu wa sasa wa katuni

Katika peji za love stori....wanawake waliochorwa na ile mishepu yao sijawahi kuona nchi hii.
Walikuwa wanachora mademu wakali...nilikuwa nakiss hadi gazeti

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Umekosea hapo kuitaja serikali, eti iwasaidie!
 
Hivi hili jarida la Sani hawawezi kulirudisha tena sokoni washika dau? Maana lilikua lina soko sana

Umri ushapita, leo hii huwezi tena kucheka kwa vibonzo kama zuzu... hiki kizazi nao wana raha zao.

Siku hizi Instagram na fesibuku tu.
 
Hivi Pimbi aliwahi fanikiwa kupata mzigo? Kuna bro wangu alikuwa akija kijijini toka Dar alikuwa ananipiga fix kuwa Ndumikakuwili anaishi Manzese halafu Pimbi anaishi Masaki mtoto wa kishua, Betina anaishi Tandale kwa Tumbo dah Mungu amrehemu
 
Umri ushapita, leo hii huwezi tena kucheka kwa vibonzo kama zuzu... hiki kizazi nao wana raha zao.

Siku hizi Instagram na fesibuku tu.
Daaa kweli mkuu, nakubaliana na wewe kabisa. Hiki ni kizazi kipya.
 
Siku hizi hakuna kitu.. ni udaku kwa kwenda mbele..
 
matoto ya sasa hiv hata hayajui utamu wa zille garazet za sani na bongo.ndio nikijifunzia kusoma enzi hizo 1995- 6..
nashangaa sana wachora vibonzo wamekaa kuchora siasa tu na kudhihaki wat ambao ni kama baba zao
badala wajikite kwenye ku produce comic books kama nchi za nje vile mfano wa dc comics na kupata mabilion ya fedha
kweli tupo nyuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…