Nalia na Utumishi

Nalia na Utumishi

hii haihusiani na picha mkuu
hapo unapaswa u update cheti chako cha CSE na Kama una cha Advance kwa format ya S0000-1234
 
Mkuu nifanya hayo yote, kama vipi unisaidie labda wewe ,nikupe password za account yangu
 
Habari zenu wadau,

Jamani nimeandika huu ujumbe maana sasa imekuwa kisanga kwanza ni mwaka sasa nahangaika na mfumo wa ajira portal bila mafaniko na kila nikiwapigia siimu hawapokei, nourishing kipipigwa block tu. Nimejaribu kwenda pale DSM, posta kwenye ofisi za utumishi nikaambiwa niende Dodoma.

Mwenye msaada ajitokeze

View attachment 2015314
Njoo PM tujadiliane kama naweza kukuunganisha na mhusika pale Dom
 
Mkuu mbona maelezo hapo yanajitosheleza kukueleza nini tatizo lako....

Kingine: Nasikia hio system unaweza register hata zaidi ya mara moja,, so fanya achana na hio account anza kuregidter upya..
Weka email nyingine then fanya usajili upya kisha endelea kuteseka - in Mpango voice hadi pale utakapopata kazi...

SIRI kubwa ya utumishi watu siku hizi wana BET,, una apply kwa account tofauti nyingi ,, hasa hizi ajira za walimu, madaktari..ndio maana unaona wakitangaza majina kuna watu huwa wanajirudia rudia sana.. Fanya hvo
Thank me later
 
Mkuu umetupiga

Screenshot_20211124-153733_Samsung Internet.jpg
 
Mkuu mbona maelezo hapo yanajitosheleza kukueleza nini tatizo lako....

Kingine: Nasikia hio system unaweza register hata zaidi ya mara moja,, so fanya achana na hio account anza kuregidter upya..
Weka email nyingine then fanya usajili upya kisha endelea kuteseka - in Mpango voice hadi pale utakapopata kazi...

SIRI kubwa ya utumishi watu siku hizi wana BET,, una apply kwa account tofauti nyingi ,, hasa hizi ajira za walimu, madaktari..ndio maana unaona wakitangaza majina kuna watu huwa wanajirudia rudia sana.. Fanya hvo
Thank me later
huna ulijualo , hicho kitu hakipo ,
 
Hakuna kitu kama hichi. Unaweza kufungua account nyingi ila uwezi kutumia namba ya NIDA kwenye account mbili au zaidi ni moja tu. Mimi nikiteseka mpaka nikajua namna ya kuset mambo. Muda mwingine pdf zinakataa kuupload so weka picha maana format zinazokuwa supported ni pdf, jpg na png. Niliweka picha zikakubali na hivi sasa nimeitwa kwenye usaili .

Nipe namba yako nikutafute nikupe maelekezo ya nini cha kufanya
 
Mkuu mbona maelezo hapo yanajitosheleza kukueleza nini tatizo lako....

Kingine: Nasikia hio system unaweza register hata zaidi ya mara moja,, so fanya achana na hio account anza kuregidter upya..
Weka email nyingine then fanya usajili upya kisha endelea kuteseka - in Mpango voice hadi pale utakapopata kazi...

SIRI kubwa ya utumishi watu siku hizi wana BET,, una apply kwa account tofauti nyingi ,, hasa hizi ajira za walimu, madaktari..ndio maana unaona wakitangaza majina kuna watu huwa wanajirudia rudia sana.. Fanya hvo
Thank me later
Kwa sasa hv haiwezekani ukiwwka namba yako ya Nida tu kwisha habari yako
 
Mkuu mbona maelezo hapo yanajitosheleza kukueleza nini tatizo lako....

Kingine: Nasikia hio system unaweza register hata zaidi ya mara moja,, so fanya achana na hio account anza kuregidter upya..
Weka email nyingine then fanya usajili upya kisha endelea kuteseka - in Mpango voice hadi pale utakapopata kazi...

SIRI kubwa ya utumishi watu siku hizi wana BET,, una apply kwa account tofauti nyingi ,, hasa hizi ajira za walimu, madaktari..ndio maana unaona wakitangaza majina kuna watu huwa wanajirudia rudia sana.. Fanya hvo
Thank me later
Kwahiyo ukishatumia email nyingine na namba ya NIDA unaenda kutafuta nyingine isiofanana na taarifa zako za awali ambapo mfumo hautakutambua?
 
Mkuu hapo awali kabla ya NIDA ilikuwa inawezekana,, nimeangalia karibuni walivoweka nida ndio changamoto imeanzia hapo..

Wakati natoa comment nilikuwa bado nn picha ya miaka hio ya kale...
 
Nipe namba yako nikutafute nikupe maelekezo ya nini cha kufanya

Mimi sio mwenye tatizo,, sina matumizi na utumishi kwa sasa.

Mleta uzi ndio ana tatizo na kaweka mawasiliano yake,, Naomba umsaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom