Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB

Tumpe muda ! uwezo naona anao ila akishindwa arudi kwao Chitohole njia anaijua.
 
Atashine shine mpaka mwakani.. Uchaguzi ukipita ... Ananyewa.
 
Kwa hii punch basi ilibidi thread iwe closed
 
Mkipewa criticism kwa mnachokipenda mnaona ni hatred.
Harmonize hana hit song yoyote aliyoimba mwenyewe ukiachana na Aiyola ambayo nayo alipromotiwa na mtu flan.
-it z so sad, floppy z hunting mmakonde.
Ni spouse wa European Citizen
 
Haters wa Harmonies kama hamuelewi ni kuwa, pamoja na kipaji cha mziki alichonacho Dogo, kwa sasa yeye ni spouse wa European Citizen.

Kufulia kwake hakutakuwa sawa na nyinyi, ana uwezo wa kukwenda kokote duniani kuanza upya.


Wataliano hawana dili, wao wenyewe rumba kali. Vishuka
 
Hivi huyo jembe n jembe ndo nani? Bora zamarad Kama n rafiki yake anaweza mpa ushaur mzur akatoboa. Challenge kea harmonize n kua hana media kubwa ya ndani itakayo mpa sappot hand to hand mpka kilelen. Clouds hawato weza wasafi ndo kabisa na kule efm ndo kabisaaa maana hawaeleweki. list inge msaidia kuweka sawa na media yoyote happy juu kutampa matokeo. Kuliko kuitegemea insta pekee
 
Ndio maana wewe unazeekea hapo kwenye kakibarua kako..huku uliekuwa nae hapo job ...baadae akapata mchongo akaacha kazi na ukamcheka sana...Ila amepata job inayolipa Mara 10 zaidi yako!!!! usiogope kujaribu
lakini bado mtumwa kumbe
 
uharo
 
Ungekuwa mwanaume ningekupa zawadi umuoe huyo njemba....
 
Kila la Kheri Konde Boy ,tunakupa ubunge wa Tandahimba 2020
 
Mtoa mada nyoa ndevu rudi nyumbani kwa babaako ukafunge kitanda ukae...bado hujachelewa.
 
Usifurahi juu yangu, eeeh rafiki yangu. By Upendo Nkone
 
1. Wcb sio Mungu mwacheni Mungu aitwe Mungu.
2.usipende kutunzwa face maisha kama mwanaume.
3.Anaye dhubutu huwa kidume au jike ila anayeogopa kuface maisha ni ZOBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…