Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB

Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB

Anaomba harmo aachane na Sarah ili yeye aolewe na harmonize
Kwanini tunapenda kuwakatisha tamaa watu wanaojaribu vitu fulani??Kwann uombee waachane na Sarah ww kama nani??Mungu ndio aliyewaunganisha , na umejuaje kama anategemea hela za ukweni, acheni chuki zenu, tunapaswa kuombeana mema na sio kumuombea mwenzako aanguke, sijui utapata furaha gani
 
Acha uboya wew ngoma za harmonize zote ni hit ..boss wako ana gubu kila akiona ngoma nzuri ana ameisha ashirikishwe
Mkipewa criticism kwa mnachokipenda mnaona ni hatred.
Harmonize hana hit song yoyote aliyoimba mwenyewe ukiachana na Aiyola ambayo nayo alipromotiwa na mtu flan.
-it z so sad, floppy z hunting mmakonde.
 
Back
Top Bottom