Kwanini tunapenda kuwakatisha tamaa watu wanaojaribu vitu fulani??Kwann uombee waachane na Sarah ww kama nani??Mungu ndio aliyewaunganisha , na umejuaje kama anategemea hela za ukweni, acheni chuki zenu, tunapaswa kuombeana mema na sio kumuombea mwenzako aanguke, sijui utapata furaha gani