MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Kuna Ubaya?Huwa wanasheherekea birthday ya Malkia wa Uingereza na Sasa Mfalme wa Uingereza. Nilishangaa gazeti la Kenyan page nzima ni habari ya birthday ya Malkia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Ubaya?Huwa wanasheherekea birthday ya Malkia wa Uingereza na Sasa Mfalme wa Uingereza. Nilishangaa gazeti la Kenyan page nzima ni habari ya birthday ya Malkia!
Mkuu Wakenya vitu vikipanda bei tu wanai gia barabarani, Sukari ilipanda wakatishia kuibgia barabarani zikashuhswa melibza Sukari.Wakenya wapo smart sana
Sisi Watanganyika ndo tupo mambumbumbu tu
Hatujielewi
Tunaendeshwa na wajinga wachache
Umeme hatuna tupo kimya
Sukari elfu 5 tupo kimya
Nauli juu
Mafuta juu
Mkenya hawezi kubali huu ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
unga uko juu?; leta Data au unaongea kwa Data za vijiweni vya kahawa? make nyie ni mabingwa wa data za vijiwe vya kahawa mnako shinda kupiga umbeaAcha kuwasifia ujinga mbona mafuta na unga vipo nchini juu kwao na hakuna cha maana walichokifanya
Mleta maada ni mjinga, Waafrica hatuwasi kujikomboa tunawaza kuzodoana, Japani na China wanazodoana kwa vitendo kwenye techibolojia, China na India wanazodoaja kwenye Techinolojia, sasa njoo kwa sisi wenye damu ya nyani tubazodoana kwa majungu,.Hivi kuna chochote sisi Waafrika hatujaiga aidha uzunguni au uarabuni, unakuta mtu amevaa kanzu unamuuliza anakuambia anataka afanane na muhammad, yaani muarabu.
Hata mleta mada hapo alipo aoenyeshe kimoja ambacho sio cha uzunguni, kuanzia mavazi hadi anakokwenda kunyea......
Tuache unafiki wa kuelekezana vidole tukubali mwafrika alichelewa sana tangia enzi za mababu zetu.
Soma kuhusu ngozi nyeupe enzi za utawala wa Warumi, maelfu ya miaka huko, uone majengo waliyokua nayo ya kifahari wakati mababu zetu wanaishi kama ngendere maporini, kisha ujiulize na kushangaa hadi leo kuna Mwafrika bado anaishi maisha ya dhiki hajafikia hadhi ya mzungu wa enzi hizo.
Walau ndio leo tunafikisha umeme kwenye baadhi ya walalahoi
View attachment 2897470View attachment 2897470