Naliona anguko la taifa la Kenya kijamii( Kuiga uzungu kunaliangamiza taifa la Kenya)

Huwa wanasheherekea birthday ya Malkia wa Uingereza na Sasa Mfalme wa Uingereza. Nilishangaa gazeti la Kenyan page nzima ni habari ya birthday ya Malkia!
Kuna Ubaya?
 
Wakenya wapo smart sana
Sisi Watanganyika ndo tupo mambumbumbu tu
Hatujielewi
Tunaendeshwa na wajinga wachache
Umeme hatuna tupo kimya
Sukari elfu 5 tupo kimya
Nauli juu
Mafuta juu
Mkenya hawezi kubali huu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Wakenya vitu vikipanda bei tu wanai gia barabarani, Sukari ilipanda wakatishia kuibgia barabarani zikashuhswa melibza Sukari.

Bongo ni Taifa limejaa mazezeta, hawajitambui, hawajui haki zao, haWajui wajibu wao, watu wapo wapo tu kama maiti.
 
Acha kuwasifia ujinga mbona mafuta na unga vipo nchini juu kwao na hakuna cha maana walichokifanya
unga uko juu?; leta Data au unaongea kwa Data za vijiweni vya kahawa? make nyie ni mabingwa wa data za vijiwe vya kahawa mnako shinda kupiga umbea
 
Mleta maada ni mjinga, Waafrica hatuwasi kujikomboa tunawaza kuzodoana, Japani na China wanazodoana kwa vitendo kwenye techibolojia, China na India wanazodoaja kwenye Techinolojia, sasa njoo kwa sisi wenye damu ya nyani tubazodoana kwa majungu,.

Post kama hizi zibanifanya niamini ni kweli tulikuwa nyani na bado tuna akili za nyani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…