ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku eti umelala unaanza kuwaza mbinu unaanza kubuni mitego ya draft si ujinga huo? Badala uwaze una mihela kibao unatoa offer tu Kwa jamii eti unaota king zinavyokula kete. Ndo mimi sa Hivi silitaki.