Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

Nalipenda sana Jeshi langu la JWTZ ila nilichokiona jana pale TPDF Golf Club getini kabisa hakikuwa cha kiungwana

Hayo Uliyoyaona Ni Kama Umeshangaa!!!🙄🙄🤔🤔🤔
Ni Kawaida Sana Wala Siyo Nongwa
Wala Hakuna Lolote Ambalo Litaongezeka
Anakula Doso Anatoka Jasho
Mwili Unakuwa Sawa Sawa
 
Ndo maana raia tunaambiwa tusiogee wala kuzoea maeneo ya kambi za majeshi yoyote lakini kuna watu wamezoea hayo maeneo na wanafanya njia kabisa au sehemu ya vijiwe siku ikikutokea unaanza kupiga kelele, wALE WATU WAMESAINI KIFO NI DO OR DIE na mazoezi yao na adhabu zao ni zakifofkifo ndio maisha waliochagua na kupitia hayo ndio wanatuweka salama sisi waoga ambao hata tukiona mazoezi na adhabu zao tunapiga kelele. Hivi wangekuwa wanalelewa nare nare wangepata ujasiri wa kumrarua nduli amini? wangeweza kuikomboa komoro? nk
 
Nina rafiki aliniambia jeshini walikuwa wanatumwa kwenda kukata kuni mwendo kama wa masaa manne kwenda na kurudi,wakisharudi na kutua mzigo wa kuni kambini anakuja Afande mmoja wa cheo cha juu anasipangusapangusa kwa vidole anawaambia kuni chafu zina vumbi waende mtoni wakazioshe alafu ole wako ukatae,baadaye alikuja kuachana na mambo ya Jeshi kwa sababu kama umekosea MP anakusotesha tu anavyotaka, una haki ya kukataa lakini utapoteza ajira kwa utovu wa nidhamu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Zile kazi zina wenyewe mkuu.
Ukiona huwezi unaacha tu maana sio kila mtu ataweza kuvumilia mambo ya jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa mimi mkuu
,yule afande boga sana,,kunibebesha chuma kajiona mjanja..
Subir nikiingia lindo nategeshea nimwagie zakutosha harafu nikabidhi mashine
Wewe siye mhusika. Kuna kuhenyeshwa kwa kudhalilishwa na baadaye wewe uliyehenya unatakiwa kutoa kifuta ujinga.

Kifuta ujinga ni ...'asante afande' huku ukijikunguta vumbi kubana mikono na kuondoka.

Na ukiitoa hiyo kifuta ujinga, inajadiluwa kama imetoka katikati ya moyo wako, vinginevyo unarudia kufanya hizo ngarambe.
Ninakushangaa kusema utarevange!

Kwenye majeshi visasi havipo na ukigundulika kutishia superial commander wako, unaondolewa jeshini kwa aibu, sijui kama unaelewa hilo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao, Kuna watu wanalipa visaai kwa aina. Kuna jamaa yangu ni jeuri kweli huko kamvini kwao sasa siku moja ndugu zake walikuja kumtenbelea kufika getini wakafanyishwa usafi jamaa ile anapota akawakuta akamuuliza mshikaji hivi kweli unawanyanyasa ndugu zangu wakati wamekwambia wanakuja kwangu?

Basi jamaa akawachukua ndugu zake akasepa, ila moyoni akaapa kulipa kisasi.

Siku ya siku yuko getini ndugu ya zake na yule jamaa tena wa heshima wakafika mshikaji akawakamatisha fyekeo.

Jamaa alivyopata taarifa akaja mbio huku analalama aliposogea kutaka kuwatoa ndugu zake fykeo, yule mshikaji akaziweka chemba, akamwambi sogea nikumiminie.

Jamaa hakuwa na ujanja ndugu zake walifyeka mpaka jioni

God save us
 
bakora tamu ni zile zinazochapwa mstalini ...ndo lengo la iwe fundisho kwa wengine...au hujasikia hata hukumu za mahakama zipo kihivyo...lengo ni kutisha wengine...nikikupa adhabu sijui nyuma ya nyumba itakua ni kukuchosha tu na lengo lililotalajiwa lisifikiwe
 
Enzi zile timu ya jeshi ikiwa inacheza makutupora kwanza raia huruhisiwi kushangilia hata timu yenu ifungwe na wale waliokua wanaruka ukuta kuingia uwanjani walikua wanakamatwa wanaambiwa waungalie ukuta hadi mechi inaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom