Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Hilo ni jeshi la wananchi wa Tanzania lazima tuwahoji.Kambi nyingi ofisi za MPs ziko getini,ulitaka wakampe adhabu mbali na ofisi yao kwa kumuogopa nani kwa mfano,mnataka kuanza kuleta siasa na jeshini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaa.. kule humu hakuna kutumia akili ni nguvu tuu kile ambacho nyie mnaona kitashindika huku ni byee kabisaJeshi ni nguvu 99%.....
[emoji23][emoji23][emoji23]Nina rafiki aliniambia jeshini walikuwa wanatumwa kwenda kukata kuni mwendo kama wa masaa manne kwenda na kurudi,wakisharudi na kutua mzigo wa kuni kambini anakuja Afande mmoja wa cheo cha juu anasipangusapangusa kwa vidole anawaambia kuni chafu zina vumbi waende mtoni wakazioshe alafu ole wako ukatae,baadaye alikuja kuachana na mambo ya Jeshi kwa sababu kama umekosea MP anakusotesha tu anavyotaka, una haki ya kukataa lakini utapoteza ajira kwa utovu wa nidhamu.
Wewe siye mhusika. Kuna kuhenyeshwa kwa kudhalilishwa na baadaye wewe uliyehenya unatakiwa kutoa kifuta ujinga.Nilikuwa mimi mkuu
,yule afande boga sana,,kunibebesha chuma kajiona mjanja..
Subir nikiingia lindo nategeshea nimwagie zakutosha harafu nikabidhi mashine
Sawa...afande wa stendi!!!Yaa.. kule humu hakuna kutumia akili ni nguvu tuu kile ambacho nyie mnaona kitashindika huku ni byee kabisa
πππ wanaongoza aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kat ya watu wenye sifa hapa tz bas hawa jamaa ni namba wani
Sent using Jamii Forums mobile app