Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Natumia nmb mkuu.Tengeneza master card kwenye Vodacom Mpesa menu kipengele cha huduma za kifedha. Kisha ukimaliza weka pesa kwenye akaunti ya Mpesa. Baada ya hapo unaweza kuhamisha kiasi kinachohitajika kwenda kwenye kadi. Kisha lipia huduma unatihitaji.
Mwelewe jamaa hapo #2Natumia nmb mkuu.
Anakwambia si lazima ulipe Kwa bank.Natumia nmb mkuu.
MALIPO ni ngapUkishalipia ndo imetoka huwa ni lifetime, mimi nililipia mwaka juzi nipo natumia Hadi leo, muhimu usije ukabadili email yako unayotumia asahiv
Mkuu nikienda kwenye menu ya mpesa kisha huduma za kifedha inaniletea hiyo menu hapo chini kiongozi.Tengeneza master card kwenye Vodacom Mpesa menu kipengele cha huduma za kifedha. Kisha ukimaliza weka pesa kwenye akaunti ya Mpesa. Baada ya hapo unaweza kuhamisha kiasi kinachohitajika kwenda kwenye kadi. Kisha lipia huduma unatihitaji.
Nimemuelewa maelezo yake ila sijaelewa jinsi ya kuitengeneza master card kiongozi...!Mwelewe jamaa hapo #2
Ingia kwenye menu yako ya m-pesa,then fuata maelekezo,utafanikishaNimemuelewa maelezo yake ila sijaelewa jinsi ya kuitengeneza master card kiongozi...!
Hizi namba unamaanisha ni card namba sio account number right...? Date of issue sijaona kwenye card kuna date of expiry tu.Lipa kwa kutumia card yako ya nmb,utaingiza namba 12 za mbele kwenye card,date of of issue/expiry na namba 3 za nyumba kwenye card . Karibu poweramp.
Elfu 10 tu kiongozi.MALIPO ni ngap
Nimeona menu ila sijaona jinsi ya kuitengeneza Mastercard zingatia post yangu namba 10 tafadhali.Ingia kwenye menu yako ya m-pesa,then fuata maelekezo,utafanikisha
Tumia Vodacom app.Nimeona menu ila sijaona jinsi ya kuitengeneza Mastercard zingatia post yangu namba 10 tafadhali.
Nime-download app ya mpesa nimepata visa card na nimeweka hela elfu 20 still nikilipa Play Store inataka password ya email nikiweka password inaniambia password not correct kiongozi.Tumia Vodacom app.
Chap tu unakuwa na kadi yako.
Hata mimi inanigomea mkuu.Mimi nililipia kama miaka 3 iliyopita, nililipia kwa kutumia Vodacom Airtime kama means ya kufanyia malipo Playstore..
Natumia hii njia pia kulipia Apple Music kila mwezi.
Vodacom Mastercard iligoma.