Nalipongeza Bunge La Kenya

Nalipongeza Bunge La Kenya

It's bad, I have never witnessed this level of shortage since 2007/8- there was political instability then. In our supermarket, there is no maize flour! The shelves on that section are empty.

Sugar....just the biggest most pipo are not willing to take. Why this is so is not clear, it is so worrying.
I can Imagine.
Lakini this time I am sure mambo yenu yataenda poa,
Last lesson was Important for you. Just like Egypt Did,
 
kweli....wabunge hasaa wa Afrika nia yao mbaya...most of the time they are looking out for their own individual interests...hard to tll whether this thing is authentic...they could be faking it
Obviously hiyo ni strategy ya kuwin election!

Nilikuwa nafuatilia kampeini za uhuru siku ile anaidhinishwa kugombea kwenye mkutano(Sikumbuki ilikuwa wapi ila ni pwani ya Kenya) nilishangaa hapo ndo anajinadi kuwa ameliona tatizo la njaa na kumwomba spika aitishe bunge kujadili suala hilo!

Na hili mtakuwa mnaliskia kila siku kwenye kampeini za jubilee
 
No one denying the problem is not real, but the issue is politician using the issued for there own benefit. Inajulikana mvua ilikuwa ndogo Kenya, watu wamenunia chakula wamekiweka, wafanyabiashara na wao wanajiongezea bei kujitajirisha, na wafanyabiashara wakubwa wa chakula ni nani kama sio hao hao wanasiasa. Nakumbuka 2013 serikali ya Kenya walitaka kuweka vat kwenge unga maziwa na mkate. You know what followed, watu walitaka kuingia mtaani, but not before taking a cue from another group of politicians who want to capitalised on the issue. Siasa ni usanii kila mahali.
The politicians always capitalize on the people's plights for their own political ends. It is not sumthing only peculiar to Kenya. The high cost of living, real or imagined has has always being been the focus of campaign against the govt by the opposition.

However this is different. The sudden shortages of essential goods, particularly sugar and maize flour seems to have galvanized the opposing sides the Kenyan politics, the leaders from both ends of the divide have decided to sit together to work out a solution to this state of affair, which is very laudable. It's very rare for this to happen. I'm very surprised, many Kenyans are very surprised by this move by the members of the opposition party.
 
Wabunge wa upinzani wangetumia hii fursa kuhubiri dhidi ya serikali lakini wamekua wazalendo na kutenda kweli.
Hata jubilee ili wasihubiriwe ndo maana UK anamwagiza spika aitishe bunge haraka haraka!

Siasa mchezo wa ovyo sana
 
Obviously hiyo ni strategy ya kuwin election!

Nilikuwa nafuatilia kampeini za uhuru siku ile anaidhinishwa kugombea kwenye mkutano(Sikumbuki ilikuwa wapi ila ni pwani ya Kenoya) nilishangaa hapo ndo anajinadi kuwa ameliona tatizo la njaa na kumwomba spika aitishe bunge kujadili suala hilo!

Na hili mtakuwa mnaliskia kila siku kwenye kampeini za jubilee
Hamuelewi kinachoendelea hapa, na kwasababu gani limekuwa gumzo hapa Kenya........wabunge wakuu wa vyama hasimu Kenya kuamua kuketi pamoja kujaribu kugangua tatizo hili. Yaani upinzani inajaribu kusaidia seeikali badala ya kuwaponda na kutumia suala hili kwa madhumuni yao ya kisiasa.

Ni nadra sana hili kufanyika Kenya.
 
Wabunge wa upinzani wangetumia hii fursa kuhubiri dhidi ya serikali lakini wamekua wazalendo na kutenda kweli.
Chakula kenya ni mkaa wa moto, hakuma wamanasiasa anaweza kutia mikono asipojuwa mwisho wake ni nini. Lakini, kwanini wapinzani wapige kelele wakati tiyari bei ikiwa juu na wao wanafaidika. Wanasiasa wa pande zote mbili ni wafanyabiashara wakubwa wa chakula.
 
The politicians always capitalize on the people's plights for their own political ends. It is not sumthing only peculiar to Kenya. The high cost of living, real or imagined has has always being been the focus of campaign against the govt by the opposition.

However this is different. The sudden shortages of essential goods, particularly sugar and maize flour seems to have galvanized the opposing sides the Kenyan politics, the leaders from both ends of the divide have decided to sit together to work out a solution to this state of affair, which is very laudable. It's very rare for this to happen. I'm very surprised, many Kenyans are very surprised by this move by the members of the opposition party.
If you read my pervious comments you'll see I didn't specify that this is an issue affecting Kenya only. Politician dunia mzima they all behave the same, using people grievances to benefit themselves. The issue here sio chakula hakuna, the issue is politician who themselves are big food suppliers trying to be seen like they're doing something especially at this time of election. Of course they need to do something as politician but there business side of is pulling them the other way, I'm sure ingekuwa sio election year, wangekaa wakaamua waagize chakula nje and guess who will pocket those millions....????
 
It is clear why there is food shortage in Kenya, and it is not becos it is hoarded by the politicians. The Kenyan politicians have the reputation fot their greed, true, but regarding this matter, are we not now maligning them unjustfiably?

U cannot provide the evidence to back up your claim, which is nothing more than a figment of your imagimation.

Look at the recent drought that ravaged huge swathes of this continent, Kenya was adversely affected, so were the other countries from which it sources its food supply. It has turned out that SA, Zambia, Tanzania, Uganda etc, the traditional source countries for Kenya's maize supply are unwilling to sell to Kenya their maize, cos they are also grappling with the shortage.
 
Sawa mkuu.

You like potato and I like potahto
You like tomato and I like tomahto
Potato, potahto, tomato, tomahto.
Let's call the whole thing off
 
Sawa mkuu.

You like potato and I like potahto
You like tomato and I like tomahto
Potato, potahto, tomato, tomahto.
Let's call the whole thing off
As a spectator,who has a stake in this epic and entertaining battle,I think I should have been consulted before the whole thing was called off!I demand a rematch!Please,I beg,give me the honour of setting the date and time of the rematch.Thanks in advance gentlemen!
 
The power of social media, Kenyans have complained a lot kwa mitandao ya kijamii na imewekea serikali pressure kuhusu high cost of living. Something has to be done.
 
Bunge la Kenya limekutana ili kujadili hali ya kupanda kwa gharama za maisha baada bidhaa muhimu kwa jamii kama Unga na Sukari kuwa ghali hivyo jamii ya kipato cha chini kuwa katika wakati mgumu kimaisha.
HONGERA WABUNGE WA KENYA ....!!

Huku kwetu TZ tuko taaabani lakini hatuna wa kututetea wao kazi kutafuta kick kila kukichwa. Kusifia serikali kwa saaana, kumuandama bashitee kwa Sanaa, kubaguwana kwa sanaa. Wakati Unga na Sukari bei Juuuu , wao kimyaaaaa. !!
a65f63c56923b3b642054a52519b8df8.jpg
2fcbab90ab7c7dc0344e1445df8aa176.jpg
jana wabunge watatu wamepewa ambulance na anko. Ngoja tuone labda hao wabunge waliokula bingo watakuja na hoja ya kuzungumzia pia maisha kupanda kwa wananchi wa chini
 
Back
Top Bottom