Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Sijawahi kuona bodaboda au vijana wa hovyo kama hao vijana wa Kawe aisee ni wajinga na wakora kupitiliza aisee kwanza ni wezi, makuwadi, wauza bangi na aina ya vitu vya hovyo kupitiliza.
Siwezi kusahau siku walionipora milioni mbili kwenye begi langu na mmoja ya watu waliohusika kunifanyia huo ukora ni huyu bodaboda mtuhumiwa na crew yake, ama hakika niliwaambia ipo siku mtakoma mtachofanyia.
Kongole kwa millitary police wa Jeshi la wananchi wa Lugalo kuwatembezea mkong' oto hao bodaboda wahuni na bado cha mtema kuni mtakiona aisee
Kongole kwa JWTZ Lugalo! Mbarikiwe sana aisee.