Nalipongeza Sana Jeshi La Polisi Nchini Kwa kuendelea Kumshikilia na Kumhoji Mdude Nyagali

Hatutaki Damu ya mtanzania yeyote yule asiye na hatia imwagike katika ardhi ya Tanzania.Ndio maana vyombo vyetu vya ulinzi hususani jeshi la polisi limekuwa likipambana kuwatia nguvuni na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wahusika wote.
nitajiw idadi ya watekaji walio kamatwa mpaka sasa?
 
Mimi nakuunga MAMA ANATOSHA KUENDELEA KULIONGOZA TAIFA LETU
 
Kwa sheria IPI?
Kumbe wewe ni nyang'au vile vile!? Matusi ni hayo yanayofanywa na mlimbwende wenu macho kumchuzi mpuuzi mkubwa wewe!
 
Hata nikitukanwa lakini sitaacha kuwaambieni ukweli .Ni lazima tuwe na vijana wenye kujenga hoja zenye kuamsha fikira na siyo vijana wenye kuporomosha Mimatusi
Naomba jitokeze kulaani kuawawa kinyama kwa Mzee kibao, kupigwa risasi tundu Lisu, na hivi karibuni kutekwa na kuumizwa Abdul Nondo kijana Mwenzio! Hapo unaonesha sense of humor. Usipofanya hivyo ujue umefanyika Laana kwa kushangilia damu za watu iumwagika juu ya uso wa Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…