Nalipwa ila kazi sipewi

Nalipwa ila kazi sipewi

Hilo liko sawa subiri. Huenda wanasubiri uende training wameamua wakushikirie kwanza. Uko kwenye matazamio ya ajira

Halafu uliomba kujitolea hata bila malipo na wao wameamua wakulipe posho usiishi kinyonge unaona shida. Kuna wenzio wanatamani hizo fursa hawapati.
 
Vuta subira
Hello wakuu. hapa mwanza kuna kampuni niliomba kazi ya kujitolea ili nipate experience ya kazi, nilipereka barua na cv, baada ya siku mbili wakanipigia simu nikaenda ofisini. nilivyofika pale Bosi alinioji maswali kadha wa kadha kuhusu uzoefu wangu n maswali ya kawaida ya kujieleza. akaniambia
"kwa sasa utajitolea kwa miezi mitatu, na tutakuwa tunakulipa elf 50 kwa wiki (monday to friday)" na ni kweli wananilipa bila longolongo. chaajabu, kazi iliyoniperekea sijawahi kufanya hata kidogo. sijawahi kuwepo hata kwenye moja ya department. no working no experiencing. nikiwauliza wananiambia nitulie tu kazi nitaanza soon, bado kuna mambo yanawekwa sawa. sasa ni mwezi na wiki tangu mimekuja. hapa najiuliza, nitoke nikatafute sehemu nyingine ambapo naweza kulipwa na kufanya kazi kwa ajili ya kupata experience au niendelee kuwasikilizia hiyo miezi ndo nione maamuzi ya kuchukua? kila siku nakuja muda wa kazi, na natoka saa 11 jioni,. uwe unafanya kazi au hufanyi, muda wa kutoka ni hiyo, kazi ni kukaa tu. nafika nawasha pc yangu na napiga nayo story. nishaurini wakuu.
kiharaka haraka inaonekana jambo dogo sana kwa sababu nalipwa hiyo 50 kila baada ya siku 5 ukitoa siku za weekend, lakini kwangu mimi naona kama halijakaa sawa. nishaurini wakuu.
 
"Ukienda FIELD kukaa bila kazi nayo ni kazi" Mwalimu wangu wa college.
Kijana,tulia mdogo wangu. SUBRA,SUBRA,SUBRA,,,,,,ACHA WENGE DOGO.
 
Watu wa TISS walikufanyia interview unaweza kifiriki hawa matapeli wanakutega kwa vitu common sana. Ndugu yangu alikuwa anaambiwa kila siku awahi saa 11 alfajiri feri, alikuwa anashinda hadi 12 haoni mtu, posho unatumiwa kila wiki 120,000. Alifanya hivyo miezi sita. Siku tu akapitiwa akapotea one year ndo anarudi anasema alikuwa kozi Zanzibar. Sahizi anakula tu maisha.

VUMILIA
 
shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom